Asante kiongozi ... utachukua kwa kadri uelewavyo na kwa ufahamu wako pia ... but I think I just did what I thought is good.Siasa ni maisha ya kila siku na kila unachokiona mbele yako kinakuwa affected na siasa...... sasa unaposema mtu asiwaze siasa muda wote sijui una maana gani