Ni bora uhesabiwe kwa hiari yako kuliko kuhesabiwa kwa lazima hii itakuwa fedheha na aibu kubwa!Kwangu watakuta bango mlangoni (mimi muislam sihesabiwi)chezea waislam wewe!
Kwa mtu aliyeenda shule ukimpelekea hii argument atakuona mjinga sana. Population growth inatokana na watu kuingia na kutoka. Tanga ni mkoa ambao uchumi wake unashuka kila siku, viwanda hakuna na watu wanakimbilia Dar kila kukicha halafu mnataka ongezeko? Hapo mtasingizia watu wa dini flani wanapunguzwa lakini ukweli uko wazi kuhusu Tanga, uchumi hakuna pale, watu waongea peke yao ka wendawazimu. Kama mbwai mbwaiWakazi wa mkoa wa Tanga sensa 1988 = 1,500,000. Mwaka 2002 = 1,500,000. BADO MPO MPO TU? EEBWANA. KWELI AKILI NI NYWELE.
Wakazi wa mkoa wa Tanga sensa 1988 = 1,500,000. Mwaka 2002 = 1,500,000. BADO MPO MPO TU? EEBWANA. KWELI AKILI NI NYWELE.
Kwa mtu aliyeenda shule ukimpelekea hii argument atakuona mjinga sana. Population growth inatokana na watu kuingia na kutoka. Tanga ni mkoa ambao uchumi wake unashuka kila siku, viwanda hakuna na watu wanakimbilia Dar kila kukicha halafu mnataka ongezeko? Hapo mtasingizia watu wa dini flani wanapunguzwa lakini ukweli uko wazi kuhusu Tanga, uchumi hakuna pale, watu waongea peke yao ka wendawazimu. Kama mbwai mbwai
Mwambie ndio imesababisha serikali kujenga shule za kata baada ya takwimu kuonesha kuwa idadi kubwa ya vijana walio shule za msingi watakaohitaji kuanza sekondari. Pia ujenzi wa zahanati katika kata au vijiji hutegemea idadi ya watu, Isije tokea eneo mlilogomea sensa mkaonekana idadi yenu haitoshelezi kupatiwa dispensari au kituo cha afya halafu muanze kusingizia mfumo islamu au mfumo kristo
Tii mamlaka, tii sheria za nchi kujenga Tanzania moja yenye amani. Kama hata ukitoa hela kwenye ATM unazihesabu kuona kama ziko kamili, kwa nini serikali isihesabu watu wake kujua idadi yao??