Masaa 48 kabla ya SENSA, mhamasishe jirani yako na JF memba mwenzio

Mimi kama muislamu nitahesabiwa na nawaasa wenzangu pia mtoe ushirikiano kwa makarani wa sensa
 
Population projections kwa wanaopenda hesabu.

Population 2002 mtu 34 584 607
Population growth rate 3%
Hence by compounding, population 2012 mutu sawa na
(35 584 607)x(1+3/100)^10 = 45 134 903 . Proportion of muslim strictly indeterminate.
 
Wakazi wa mkoa wa Tanga sensa 1988 = 1,500,000. Mwaka 2002 = 1,500,000. BADO MPO MPO TU? EEBWANA. KWELI AKILI NI NYWELE.
 
Wakazi wa mkoa wa Tanga sensa 1988 = 1,500,000. Mwaka 2002 = 1,500,000. BADO MPO MPO TU? EEBWANA. KWELI AKILI NI NYWELE.
Kwa mtu aliyeenda shule ukimpelekea hii argument atakuona mjinga sana. Population growth inatokana na watu kuingia na kutoka. Tanga ni mkoa ambao uchumi wake unashuka kila siku, viwanda hakuna na watu wanakimbilia Dar kila kukicha halafu mnataka ongezeko? Hapo mtasingizia watu wa dini flani wanapunguzwa lakini ukweli uko wazi kuhusu Tanga, uchumi hakuna pale, watu waongea peke yao ka wendawazimu. Kama mbwai mbwai
 
Wakazi wa mkoa wa Tanga sensa 1988 = 1,500,000. Mwaka 2002 = 1,500,000. BADO MPO MPO TU? EEBWANA. KWELI AKILI NI NYWELE.

Population ya mkoa wa Tanga 2012 itakuwa bado ni ile ile ya 1,500,000 :ranger:
 
Kwa mtu aliyeenda shule ukimpelekea hii argument atakuona mjinga sana. Population growth inatokana na watu kuingia na kutoka. Tanga ni mkoa ambao uchumi wake unashuka kila siku, viwanda hakuna na watu wanakimbilia Dar kila kukicha halafu mnataka ongezeko? Hapo mtasingizia watu wa dini flani wanapunguzwa lakini ukweli uko wazi kuhusu Tanga, uchumi hakuna pale, watu waongea peke yao ka wendawazimu. Kama mbwai mbwai

KWENDA SHULE SIO TATIZO. TATIZO NINI UMEENDA KUSOMA HUKO SHULE. JE ULIKUA NA VIGEZO SAHIHI AU ILIBIDI KUSHUSHA ALAMA ZA UFAULU ZA HAMISI ULI WEWE UENDE CHUO KIKUU. MATOKEO YAKE KUA NA WASOMI AMBAO MIAKA ARUBAINI BAADA YA UHURU, TUNATEGEMEA WATAALAMU WATOTO WA KICHINA. MWEEEE! MNACHAKACHUA MPAKA MITOKEO YA MITIHANI. KILA SIKU KUOMBA RADHI TU. KOPY and Paste. UFISADI KILA PEMBE. Huo ndio usomi??.

Mwambie ndio imesababisha serikali kujenga shule za kata baada ya takwimu kuonesha kuwa idadi kubwa ya vijana walio shule za msingi watakaohitaji kuanza sekondari. Pia ujenzi wa zahanati katika kata au vijiji hutegemea idadi ya watu, Isije tokea eneo mlilogomea sensa mkaonekana idadi yenu haitoshelezi kupatiwa dispensari au kituo cha afya halafu muanze kusingizia mfumo islamu au mfumo kristo

Mkubwa unaongea as if hauko Tanzania au unasimuliwa tu kuhusu Tanzania..
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom