kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Kwani hao siyo viongozi?Tangu marekani itoe taarifa yao yameshakatika masaa zaidi ya 24 bila kusikia kikohozi wala chafya ya kiongozi yeyote wa kiserikali akiongelea jambo lolote lile. Kwa kifupi mpaka muda huu hakuna aliyeonekana akijaribu hata ile kujifanya anajikuna.
Nchi ni kama imepigwa ganzi, ndugu watanzania wenzetu wamekufa huko Moshi kwenye ajali ya Mafuta hatujasikia kauli ya viongozi hadi hivi sasa zaidi ya Kamanda Hamduni na mkuu wa Wilaya Moshi.
Je, tuamini serikali imejichimbia ikifanya rehersal ya kuja na majibu? Au Our Numero Uno amestushwa na taarifa hizo kufahamika na dunia au alikua hazifahamu na sasa yupo kupata briefing!!
Vipi viongozi ambao hata hawasikiki wakiendelea kuyaongelea maeneo yao kama tulivyozoeshwa?
Walala hoi amabo mnaona kwenda marekani ni dili ndio imekula kwenu. Hakuna cha serikali kutoka tamko wala nini hebu rudini vijijini tulime mvua zinanyesaHapo kuna mambo mawili yaliobakia, either serikali yetu itutoe kafara raia million zaidi ya 50 au atolewe kafara mmoja aliezua hili balaa lote.
Ipo katika hatari gani kijana watu tunakunywa supu kwa mrija,fanyakazi dogo acha taharukiNchi ipo kwenye hatari kubwa
Wamarekani wamesema wanazo taarifa za kutosha kuwa BASHITE ndio kiongozi wa watekaji na wapotezaji watu sasa unategeme nani aongee hapo
Kumekuwepo na taarifa ya Mzee Mkapa kwenda kumwona Jiwe pale Ikulu.Tangu marekani itoe taarifa yao yameshakatika masaa zaidi ya 24 bila kusikia kikohozi wala chafya ya kiongozi yeyote wa kiserikali akiongelea jambo lolote lile. Kwa kifupi mpaka muda huu hakuna aliyeonekana akijaribu hata ile kujifanya anajikuna.
Nchi ni kama imepigwa ganzi, ndugu watanzania wenzetu wamekufa huko Moshi kwenye ajali ya Mafuta hatujasikia kauli ya viongozi hadi hivi sasa zaidi ya Kamanda Hamduni na mkuu wa Wilaya Moshi.
Je, tuamini serikali imejichimbia ikifanya rehersal ya kuja na majibu? Au Our Numero Uno amestushwa na taarifa hizo kufahamika na dunia au alikua hazifahamu na sasa yupo kupata briefing!!
Vipi viongozi ambao hata hawasikiki wakiendelea kuyaongelea maeneo yao kama tulivyozoeshwa?
Usipende kuchagua mada ngumu halafu uchangie kitoto. Subiri ID yako ikuekue kwanza labda akili nazo zitakua.
Sina uwezo huo wakati tayari nimeshakuambia?
Tangu marekani itoe taarifa yao yameshakatika masaa zaidi ya 24 bila kusikia kikohozi wala chafya ya kiongozi yeyote wa kiserikali akiongelea jambo lolote lile. Kwa kifupi mpaka muda huu hakuna aliyeonekana akijaribu hata ile kujifanya anajikuna.
Nchi ni kama imepigwa ganzi, ndugu watanzania wenzetu wamekufa huko Moshi kwenye ajali ya Mafuta hatujasikia kauli ya viongozi hadi hivi sasa zaidi ya Kamanda Hamduni na mkuu wa Wilaya Moshi.
Je, tuamini serikali imejichimbia ikifanya rehersal ya kuja na majibu? Au Our Numero Uno amestushwa na taarifa hizo kufahamika na dunia au alikua hazifahamu na sasa yupo kupata briefing!!
Vipi viongozi ambao hata hawasikiki wakiendelea kuyaongelea maeneo yao kama tulivyozoeshwa?
hivi bwabwa likikupiga mkwara utashtuka?
Ndiyo maana nikakumbia hivi: Umekimbilia kulaumu. Tukio lilitokea jana jioni, ungesubiri angalau kesho ifike ndiyo ulaumu.Unajua hili bandiko limewekwa muda gani? Kamuulize Msigwa
Mbona hata kwa Saddam Hussein wa Iraq walisema kua wana ushahidi kua Saddam ana silaha za WMD? Je walizikuta hizo silaha mpaka leo? Wameua watu na hakuna kilichopatikana mpaka leo hii!USA akisema ana ushahidi wa kutosha ujue hatari. Nadhani Serikali walikuwa relax hakuna uchunguzi wa nje kumbe jamaa kimya kimya. Na kawaida USA hapo ubalozini majasusi kibao na utakuta hata huku watumishi wa serikali kuna informers. Utajibu nini lazima ukae kimyaa labda umalize chinichini kuwa tufanyeje? solution watatoa USA wenyewe.
Hakika.Usiombe
Ukiwa maskini
Mwaka wa uchaguzi
Ushindi wako ... bao la mkono
Halafu kiranja mkuu ndie anakuambia
Unaua
Unatesa
Unazulmu haki za mijadala
Lazima kutengeneza tume huru ya uchaguzi
Kwa kweli kizunguzungu, kiebrania, kitakuzunguuka kichwani mpaka upoteze mwelekeo...... wamepoteana.
...🤔🤔🤔...Hapo kuna mambo mawili yaliobakia, either serikali yetu itutoe kafara raia million zaidi ya 50 (tushughulikiwe nchi nzima) au atolewe kafara mmoja aliezua hili balaa lote (DAB).
Mshana hofu yangu hawa US tukiwaletea ujuaji wanaweza kutuletea undava tuka sambaratishana wenyewe.
Imagine wanatoa picha za setelite zikimuonyesha Oclock-8 kapigishwa magoti mbele ya kiti cha enzi huku pembeni Paulo kasimama na mjeledi tutasemaje zaidi ya kuchukiana zaidi?
Mbona hata kwa Saddam Hussein wa Iraq walisema kua wana ushahidi kua Saddam ana silaha za WMD? Je walizikuta hizo silaha mpaka leo? Wameua watu na hakuna kilichopatikana mpaka leo hii!
Suala la Saddam ni suala la kisiasa zaidi alikuwa anatishia maslahi yao mapana ya kiuchumi na watu waote wanajuwa ilikuwa ni hali ya kutafuta idhini ya kimataifa na mbaya zaidi Saddam alikuwa anawatisha kuwa anazo silaha kwa kukataa kuruhusu wakaguzi kwa kudhani itamsaidia ila hilo sio suala la Makonda hawana maslahi naye na zaidi siku nyingi wanasema fanyeni uchunguzi kimyaa haiwezekani matukio kibao eti asishikwe mtu hata mmoja inaweza kuwa sio yeye lakini lazima majibu yapatikane ni nani huyo anafanya upuuzi huu. kumbuka kuna watu kibao wamepotea au kutekwa wakati fulani lakini kweli hakuna mtu hata kushukiwa?? hapa wamemtaja mtu mmoja hawajasema nchi sasa usiniambia Mkuu wa mkoa anatishia maslahi yao. hapana kuna mambo hayasemwi na ni lazima yasemwe. Serikali ina mtandao mkubwa ukitishia maslahi ya nchi utajulikana kabla ya matukio.Mbona hata kwa Saddam Hussein wa Iraq walisema kua wana ushahidi kua Saddam ana silaha za WMD? Je walizikuta hizo silaha mpaka leo? Wameua watu na hakuna kilichopatikana mpaka leo hii!