Masaa 24 ndani ya JF (Personal opinion)

Masaa 24 ndani ya JF (Personal opinion)

Jifunze kuweka kufuli, humu kuna ID huzioni zikicomment, ila zinarandaranda PM tu. Utatongozwa na mtu mmoja mwenye ID zake 10. Mambo ni mengi humu, kama unga wa ngano.
Anatongoza na moja, anapiga sound yupo vizuri hela si tatizo....anapiga u turn na id nyingine anakuja kukuomba hela 😹😹😹
 
Back
Top Bottom