Masaa 168 ya Anita

Masaa 168 ya Anita

Likizo yetu na mzee Herman ilienda njema siku nne za mapunziko tuliziona hazitoshi mzee herman akuwa yule watu wanamfahamu anapokuwa kazini ukibahatika kumkuta inje ya ofisi yake ni mtu mwengine tofauti kabisa mara nyingi jioni tulipendelea kutembelea kijijini kwenye vijiwe vya kahawa kupata habari za hapa na pale siku nyingine tulimaliza siku msituni kuwinda ili mradi kufanya vitu tofauti na vile ambavyo tunafanya tukiwa dar es salaam muda mchache tuliokuwa pamoja niliweza kumfahamu mzee Herman kale kauwoga kikapungua hadi tunarudi dar es salaam tulikuwa kama mtu na mwanae namna tulivyoshibana msafara ulinifisha nyumbani kwa velonica tukagana .
nikamkuta velonica anapanga vitu muimu kwa ajiri ya safari saa moja usiku tukanza safari ya kwenda south Africa
Tulifikia cape town pakiwa bado apajapambazuka uzuri tulipokelewa na mwenyeji wetu aliyetusindikiza hotel akuondoka hadi alipoakikisha tumeingia kwenye vyumba vyetu.
siku iliofata ilikua siku ya matembezi pamoja na kufanya manunuzi ya vitu tulivyoona vinatufaa hadi ilipofika jioni tukarudi hoteini kukajianda kwa ajiri ya kuelekea ukumbini sitosahau ile siku velonica alipendaza sana alimzidi hadi bibi harusi tangu tulipoingia ukumbini macho ya wanaume wenye uchu hayakubanduka kumtazama velonica kuna muda niliogopa hata kwenda msalani nikiofia kuzidiwa kete na wanaume wa kisauzi kila nilipomtazama sikuishiwa kumwambia alivyopendeza nilimsifia kila aina ya neno linalowakilisha uzuri
`velo umependeza sana`nilimwambia tena tukiwa tunainuka kwenda kucheza mziki macho yangu yakagongana casspery vyovest alimtazama velonica akamnong`oneza mwenzake aliyekaa nae wote wakatutazama nikaisi nikileta ujinga nitalitia hasala taifa kwa uzembe wangu
Edwin sijui mara ya ngapi unanisifia asante tulizungumza wakati tunacheza mziki ulioimbwa na msanii Elton john nyimbo inaitwa nikita sijui muda gani wala nani aliyeanza tukajikuta tunabadilishana ndimi zetu pasipo kujali eneo tulilopo sherehe ilipoisha turirudi hoteli kuendeleza tulichokianzisha tuliubatisha usiku huo kuwa usiku wa mahaba hadi panakucha kila mtu alikuwa hoi ukawa mwanzo wa penzi jipya penzi lililonisaulisha machungu yote niliyoyapitia
Hadi tunaludi Tanzania mausiano yetu yalikuwa yamepamba moto tukaonana na joice aliyetupa ripoti kuhusu mali zangu
Baada ya uchunguzi aliofanywa na mpelelezi wangu tumegunduwa kuna mchezo mchafu ulifanyika na tajiri anaitwa mr Smith junior mmiliki wa smith medical labouratory kampuni inayojiusisha na utafiti wa madawa pamoja na utengenezaji wa madawa ya binadamu ,kampuni iyo inayojiushisha na tafiti nyuma ya kazi inayojulikana kisheria kuna kazi nyingine ambayo haifamiki mr smith kupitia kampuni yake anatengeneza watu kopi kisanyansi wanaita croin wanatengeneza mtu anaye fanana na wewe kwa asilimia mia kisha wanamtuma mtu awe karibu na muhusika ili kumsoma tabia na kila kitu kinachousiana na mtu wa tageti yao mtu huyo akisha kamilisha kazi yake utatengenezewa mazingira ya kusafiri ukiondoka analetwa kopi ambaye anakuwa kama wewe atauzamali zako zote tena kisheria anapomaliza mr smith anauwa kopi kufuta ushaidi ndivyo walivyokufanyia wewe kupitia mpelelezi wangu nimefanikisha kupata picha ya kopi yako ni huyu hapa mwanasheria joice akatuonyesha kopi ya mtu aliyetengenezwa
tulipotazama picha kopi yangu ilifanana asilimia mia na mimi kila kitu kweli watu walikuwa wanahaki ya kutojuwa kwa tungekutana basi ningesema ni pacha wangu
`tufungulie kesi hii kampuni`joice alituliza
hapana sitaji nimeamuwa kuyaanza maisha mapya cha muimu nimejuwa kilichotokea basi tukafanya malipo ya gharama alizotumia joice na kuwamwaga sikutaka kuchelewesha mambo siku iliyofata tukasafili kwenda iringa kuonana na wazazi wangu waliompokea velonica kwa upendo wa hali ya juu tuka kaa siku tatu na kurudi dar es salaama tukanza kufanya mipango ya harusi iliyohuzuliwa watu mashuhuli katika nyanda za siasa na Sanaa
Ile furaha niliokuwa nimeikosa hakika kwa velonica niliipata vilivyo ikabaki simulizi niliwai kuibiwa nikafirisika kwa sasa mimi ndio msimamizi msaidizi wa makampuni za familia ya mzee Herman nikisaidiana na mke wangu velonica ……….mwisho wa simulizi hii
 
Ila mkuu ulituweka sana,Asante sana.
 
Safi sana...

Chapter Closed...
 
Back
Top Bottom