manyanga21
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 173
- 211
Dar es salaam ,
Katika jiji la dar es salaam uwezi kuwataja wanawake uwezo kipesa ukamkosa kumtaja veronica butimba kutokana na kujitolea kwake kusaidia jamii hasa watu wasio jiweza utajiri aliokuwa nao wengi walimtabilia baada ya miaka kadhaa atakuwa miungoni mwa mabilionea wanawake wenye umri mdogo Afrika mashariki na uwenda hata Afrika mzima
Hakulizika nasifa pamoja na mafanikio aliyokuwa nayo alizidi kujibidiisha katika biashara akiwa kama mmiliki wa kampuni ijulikanayo Tanzania Pure oil distribution ltd kampuni inayojiusisha na usambazaji wa mafuta
Saa iliyonashiwa kwa madini ya Tanzania iliyomka vyema mkononi ilionyesha ni saa tano na nusu baada ya kuitazama saa alipiga miyayo akainuka kwenye kiti alichokalia akachukuwa mkoba wake kwa mwendo wa madaha japokuwa apakuwa na mtu aliyemuona bado akusita kutembelea ule mwendo ambao ungemvutia kila mtu aliyemwona hadi alipofika maegeshoni alimkuta dereva wake na katibu mukta kwa pamoja wakaingia kwenye gari na kuanza safari ya kurudi nyumbani kwake masaki akitokea posta maali iliyopo ofisini yake richa ya kuwa na uchomvu kwa shughuli za mchana kutwa akuweza kusinzia alitazama uzuri wa bahari uliopambwa na meli zilizokuwa zimetia nanga kando kando ya bandari kusubilia foleni ya upakuwaji wa mizigo mara nyingi akupenda aendeswe kwa mwendo wa kasi alipenda kuendeswa kwa mwendo wa kawaida wakiwa katika daraja la salenda aliona mtu amesimama katika ukingo wa daraja alionekana alikuwa anataka kujitosa majini bila kujiuliza uwamuzi wake akamlisha dereva
Dereva alipunguza mwendo kidogo kisha akasimamisha gari pembezoni mwa barabara veronica akashuka ndani ya gari na kuwanza kukimbilia sehemu aliyokuwa Yule mtu aliyemuona amesimama pembezoni mwa daraja hawakumuacha mbali sana ni mwendo wa hatua 30
Hatuwa zilizopigwa haraka richa ya kuvaa viatu virefu vilivyo julikana kama higheels ule uzoefu wake wa kuvitumia viatu ivyo ulimsaidia kumfikia mtu uyo aliyejilusha punde tu alipofikiwa na veronica aliyekuwa akipigiwa makelele na katibu mukta wake pamoja na dereva wote waliisi bosi wao amechanganyikiwa hivyo walishuka ndani ya gari wakitaka kumsaidia hawakumfikia veronica alivuwa viatu na kujilusha ndani ya maji hakujali mavazi yake ya thamani aliyokuwa amevaa richa ya kuwa mrembo mwenye utajiri pia alikuwa mwogeleaji mzuri sana punde alijitosa alizamia kuanza kumtafuta mtu uyo aliyejitosa eneo hilo dereva na katibu mukta Walipofika hawakuweza kuona chochote zaidi ya mawimbi yaliyokuwa yakigonga katika kingo za dalaja wakiwa bado wanatafakari wafanyaje maji nayo yalizidi kujaa wingi wa maji haukumzuiya veronica ashindwe kumpata mtu aliyejitosa baada ya kutafuta kwa dakika kadhaa hatimaye alimfanikiwa kutokana na ule mwanga wa mbaramwezi ulioweza kupenya vizuri hadi ndani ya maji alimshika mtu aliyejitosa na kutoka naye inje ya maji yalionekana kumzidi nguvu hilo alilitambuwa akazidi kujitaidi jitiada ambazo zilizaa matunda alifikia inchi kavu katika kingo za daraja mtu aliyemwokoa alikuwa kimya
veronica alisiliza mapigo ya moyo akagunduwa bado anapumua ndipo alipoanza kusukuma sehemu za tumbo ili aweze kutupia maji alifanya kwa dakika kadhaa pasipo mafanikio akajalibu tena haikusaidia akamuwa kumpulizia punzi mdomoni kisha akaendelea kupiga tena sehemu za kifua ndipo mtu alianza kukohowa kwa sauti iyo iliyomfanya veronica ajuwe kuwa mtuuyo alikuwa ni mwanaume dereva na secretaly nao waliisikia haraka wote walishuka chini ya daraja ilo wakashuka kumkuta velonica amejilaza pembezoni mwa mvulana aliyekuwa hawamtambui kisula kutokana na giza veronica alipowaona akainuka akamtazama yule kijana aliyekuwa anaendelea kuyatapika maji akamalizia kumtazama dereva wake aliyekuwa ameshika simu iliyo msaidia kwa torch
Diana alipiga simu na kufanya kama alivyoamuliswa safari hii alimwambia dereva aongeze mwendo kidogo walipofika hakutaka kuongea na mtu yoyote akatelemka akiwa bado anachluzika maji na kumfungulia mlango wakambeba mgonjwa akisaidiana na Diana hadi katika moja ya chumba cha wageni akamlaza DR Jackson akuchukuwa mda alifika akamfanyia vipimo na kumkuta yupo salama kabisa isipokuwa alionekana amegubikwa na wimbi la mawazo na kushauli apewe muda wa kupunzika velonica akisaidiana na msaidizi wake wakampeleka kwenye chumba cha wageni maarufu
Asubuhi iliyofata
Sizani kama hii ni namna sahihi ya kusimulia simulizi , ngoja kwanza mimi si mwongeaji sana huwa naongea pale inapobidi tuu ninayowaza ni kumbukumbu ya machache kati ya mengi ninayo yakumbuka nisikuchoshe ipo hivi Jana nilikuwa kwenye moja ya baa sijui night club vyovyote utakavyoita sawa tuu haina maana kama hiki ninachokikumbuka navuma sana maeneo ya sinza sikumbuki jina nilipokuwa apo baa nilikunywa pombe nyingi sana na kula pia sikushuhulika na chochote muda wote niliokuwepo baa Zaidi ya kunywa pombe na kula ilikuwa mala yangu ya kwanza kufywa pombe kwa namna nilivyokuwa nakunywa laiti ungeniona ungezani ni mbobezi haswa
Jana kama nakumbuka vyema na si askili ya pombe nilitoka iringa na kuacha kila kitu changu nikaondoka kilichonisaidia ni kiasi cha pesa nilichokuwa nacho mfukoni shilingi million moja na laki tatu ndio pesa niliotumia kwenye nauli na kununulia pombe na chakula nilipokuwa baa ambayo siijui jina
Hivyo tu ninavyokumbuka toka usiku wa jana hamna kingine nimejitaidi kukumbuka kumbu kumbu zimegoma kabisa lakini hayo yanafaida gani,sidhani kama yanausiano au umuimu wowote
Nilijigeuza upande mwingine wa kitanda na kuendelea kulala sikujali nipo wapi wala saangap nilichoitaji mimi nilale tuu hata ikiwezekana milele kuepuka walimwengu na fujo zao sikujuwa ni kipi kilichonikatisha usingizi wangu mpaka nikawaza yale ya jana nilipuzia na kuludi kwenye jitihada zangu za kuutafuta usingizi punde zikakatiswa kiukatili na sauti ya mwanadada aliyeniamsha
Kabla uyo aliyeniamsha sijamtazama nikawanimesha mjuwa atakuwa ni Rose katibu mukta wangu amefikaje dar es salaam wakati nilimwacha iringa akuna mtu anayeweza kuniamsha kwa pupa Zaidi ya mpuuzi huyu
Katika jiji la dar es salaam uwezi kuwataja wanawake uwezo kipesa ukamkosa kumtaja veronica butimba kutokana na kujitolea kwake kusaidia jamii hasa watu wasio jiweza utajiri aliokuwa nao wengi walimtabilia baada ya miaka kadhaa atakuwa miungoni mwa mabilionea wanawake wenye umri mdogo Afrika mashariki na uwenda hata Afrika mzima
Hakulizika nasifa pamoja na mafanikio aliyokuwa nayo alizidi kujibidiisha katika biashara akiwa kama mmiliki wa kampuni ijulikanayo Tanzania Pure oil distribution ltd kampuni inayojiusisha na usambazaji wa mafuta
Saa iliyonashiwa kwa madini ya Tanzania iliyomka vyema mkononi ilionyesha ni saa tano na nusu baada ya kuitazama saa alipiga miyayo akainuka kwenye kiti alichokalia akachukuwa mkoba wake kwa mwendo wa madaha japokuwa apakuwa na mtu aliyemuona bado akusita kutembelea ule mwendo ambao ungemvutia kila mtu aliyemwona hadi alipofika maegeshoni alimkuta dereva wake na katibu mukta kwa pamoja wakaingia kwenye gari na kuanza safari ya kurudi nyumbani kwake masaki akitokea posta maali iliyopo ofisini yake richa ya kuwa na uchomvu kwa shughuli za mchana kutwa akuweza kusinzia alitazama uzuri wa bahari uliopambwa na meli zilizokuwa zimetia nanga kando kando ya bandari kusubilia foleni ya upakuwaji wa mizigo mara nyingi akupenda aendeswe kwa mwendo wa kasi alipenda kuendeswa kwa mwendo wa kawaida wakiwa katika daraja la salenda aliona mtu amesimama katika ukingo wa daraja alionekana alikuwa anataka kujitosa majini bila kujiuliza uwamuzi wake akamlisha dereva
simamamisha gari harakaDereva alipunguza mwendo kidogo kisha akasimamisha gari pembezoni mwa barabara veronica akashuka ndani ya gari na kuwanza kukimbilia sehemu aliyokuwa Yule mtu aliyemuona amesimama pembezoni mwa daraja hawakumuacha mbali sana ni mwendo wa hatua 30
Hatuwa zilizopigwa haraka richa ya kuvaa viatu virefu vilivyo julikana kama higheels ule uzoefu wake wa kuvitumia viatu ivyo ulimsaidia kumfikia mtu uyo aliyejilusha punde tu alipofikiwa na veronica aliyekuwa akipigiwa makelele na katibu mukta wake pamoja na dereva wote waliisi bosi wao amechanganyikiwa hivyo walishuka ndani ya gari wakitaka kumsaidia hawakumfikia veronica alivuwa viatu na kujilusha ndani ya maji hakujali mavazi yake ya thamani aliyokuwa amevaa richa ya kuwa mrembo mwenye utajiri pia alikuwa mwogeleaji mzuri sana punde alijitosa alizamia kuanza kumtafuta mtu uyo aliyejitosa eneo hilo dereva na katibu mukta Walipofika hawakuweza kuona chochote zaidi ya mawimbi yaliyokuwa yakigonga katika kingo za dalaja wakiwa bado wanatafakari wafanyaje maji nayo yalizidi kujaa wingi wa maji haukumzuiya veronica ashindwe kumpata mtu aliyejitosa baada ya kutafuta kwa dakika kadhaa hatimaye alimfanikiwa kutokana na ule mwanga wa mbaramwezi ulioweza kupenya vizuri hadi ndani ya maji alimshika mtu aliyejitosa na kutoka naye inje ya maji yalionekana kumzidi nguvu hilo alilitambuwa akazidi kujitaidi jitiada ambazo zilizaa matunda alifikia inchi kavu katika kingo za daraja mtu aliyemwokoa alikuwa kimya
veronica alisiliza mapigo ya moyo akagunduwa bado anapumua ndipo alipoanza kusukuma sehemu za tumbo ili aweze kutupia maji alifanya kwa dakika kadhaa pasipo mafanikio akajalibu tena haikusaidia akamuwa kumpulizia punzi mdomoni kisha akaendelea kupiga tena sehemu za kifua ndipo mtu alianza kukohowa kwa sauti iyo iliyomfanya veronica ajuwe kuwa mtuuyo alikuwa ni mwanaume dereva na secretaly nao waliisikia haraka wote walishuka chini ya daraja ilo wakashuka kumkuta velonica amejilaza pembezoni mwa mvulana aliyekuwa hawamtambui kisula kutokana na giza veronica alipowaona akainuka akamtazama yule kijana aliyekuwa anaendelea kuyatapika maji akamalizia kumtazama dereva wake aliyekuwa ameshika simu iliyo msaidia kwa torch
[ICODE]mbebe mpeleke kwenye gari dereva na katibu wake walikuwa bado wanashanga hamsikii au nimbebe mimwenyewe alisema kwa sauti ya kali uku akiwa anaongoza kutoka sehemu iyo dereva alimbeba kijana uyo hadi kwenye gari wote walipangia Diana mpigie simu DR jackson aje nymbani [/ICODE]` Diana alipiga simu na kufanya kama alivyoamuliswa safari hii alimwambia dereva aongeze mwendo kidogo walipofika hakutaka kuongea na mtu yoyote akatelemka akiwa bado anachluzika maji na kumfungulia mlango wakambeba mgonjwa akisaidiana na Diana hadi katika moja ya chumba cha wageni akamlaza DR Jackson akuchukuwa mda alifika akamfanyia vipimo na kumkuta yupo salama kabisa isipokuwa alionekana amegubikwa na wimbi la mawazo na kushauli apewe muda wa kupunzika velonica akisaidiana na msaidizi wake wakampeleka kwenye chumba cha wageni maarufu