Huyu mtangazaji yuko vizuri sana hasa kwenye hichi kipindi cha malumbano ya hoja. Anaweza ku moderate vizuri malumbano. Anajitahidi sana ku balance muda kwa walumbanaji wote. Pia maswali yake ya udadisi kwa wachokoza mada ni ya kiwango cha juu. Keep it Mary Mwakibete