Marvel Cinematic Universe kabla haijaundwa ilikuwa inagawa rights kwa makampuni mengine kutumua comic zake ndio kama hao Sony & Fox. Lakini kwa vile waliingia mkataba hawawezi wakawatumia ni mpaka wakubaliane tena kuwarudisha comic wao, ndio kama hapo wanakubaliana wamrudishe Logan MCU.
Ila hugh jackman yeye kashachoka kuigiza Logan ndio ikawekwa kama kafa kwenye hii movie yake ya mwisho, wakati huo Deadpool anamtafuta sana Logan wapigane 😀, ndio unaona ukiingia tweet za Hugh na Ryan kuna kamvutano!. Kuna interview flani Logan kasema Deadpool ni brand isitake kumtumia Logan kujipandisha zaid!.
Maybe Logan atafanyiwa reboot soon ila sio huyu jamaa tena kuziigiza, labda waendelee na X-23 yule dogo!.
Ingawa Tony nae anasema ni fans wake ndio wanamfanya aendelee lakini kashachoka Iron man.