Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,382
- 110,070
Haya kwa wale wapenzi wa muvi kutoka studio za marvels tukutane hapa..
Mashabiki wa Avengers Team na Justice league Team.
Tujuzane muvi zitakazotoka kutoka Studios za marvel.
Superhero walio ongezwa kwenye Avengers na Justice League.
Mimi ni team Avengers tukae mkao wa kula Infinity War. Naona utakua mwendelezo wa Civil war baada ya Team yao kugawanyika sehem mbili. Nipo kwenye kundi la Captain America,Ant man.
hafu nadhan X man kaongezwa Avengers.
Let share some stories guys...