Marvel Studios: Avengers vs Justice League Special Thread..

Marvel Studios: Avengers vs Justice League Special Thread..

Mie ni mshabiki wa Marvel. Nimeangalia movie zote za Marvel Cinematic Universe mpaka movie ya mwisho ambayo Ant-man and the Wasp. Nimeangalia Universe ingine ya kina Xmen nadhani nimeangalia zote. Nna comics kadhaa marvel.

DC watasubiri sana kwa marvel
Zi upload kama utaweza tuzipate.
 
Mie ni mshabiki wa Marvel. Nimeangalia movie zote za Marvel Cinematic Universe mpaka movie ya mwisho ambayo Ant-man and the Wasp. Nimeangalia Universe ingine ya kina Xmen nadhani nimeangalia zote. Nna comics kadhaa marvel.

DC watasubiri sana kwa marvel
DC kwenye Animations, Story line na Villains nadhani Marvel wanakaa sana.
Lakini kwenye Movie, Series na kucheza studio Marvel hawakamatiki kabisaa na DC watasubiri sana.
 
Ngoja nitamuuliza bwana mdogo akitoka shule huwa anatumia mtandao gani kushusha.
Yeye ndiyo huwa ananileta hizi vitu na animations.
🙁🙁🙁
Nataka niangalie Muvi zote toka mwaka 2000 mpaka leo hii. Kutoka hollywood nifanyeje?
 
Katka movie za tomb raider mbaya zilizowahi kutoka basi ni iliyotoka mwaka huu aiseeh. Sijaipenda kabisa. Itasubir sana kwa alizocheza Angelina jolie..
 
Katibu mimi naangalia sana comedy, horror movies, thrillers, sports drama, mystery, action (lakini ziwe na sababu).

Shades of grey niliichukua kwa mshkaji halafu hata kuiangalia nikaona uvivu nikaifuta.
Badala yake nikaja kuangalia Shades of Black.
Sasa chukua Ghetto na Game Night ucheke!..
 
Heath ledger (Joker) wa Batman Dark Knight hivi kweli alishavuta waya?
Baada ya kumaliza act tu jamaa akafariki, na ndio amemueka Joker kuheshimika!.. Ila huyu wa sasa ni kama haitendei nafasi yake unless tuisubiri hiyo movie yake!.. DCU wanaifanyia reboot Universe yao!.
 
Wao mafanikio ni hela tu.

Na lazima watazipata.
Kuna muda zinakuwa majanga bajeti walotengeneza na walichopata ni kidogo!.. Au tofauti na makadirio yao!!..
 
Baada ya kumaliza act tu jamaa akafariki, na ndio amemueka Joker kuheshimika!.. Ila huyu wa sasa ni kama haitendei nafasi yake unless tuisubiri hiyo movie yake!.. DCU wanaifanyia reboot Universe yao!.
Daaa maskini. Ila jamaa anajua sana aliitendea haki muvi aisee. Ngoja tuisubiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom