Mwenye muvi yake mweyewe kashasema yupo disappointed sisi ni akina nani hadi tusiwe disappointed

. Kiukweli I'm so disappointed na hii muvi.
But I'm so excited to see Character ya love itakavyokua huko mbele. Kweye comics Love ni Entity inayocontrol mapenzi na hisia haina jinsia na sio mtoto wa gorr kama tulivyoona. Wameamua kuibadirisha kidogo, ngoja tuone huko mbele
Kenneth Branagh director wa Thor 1 aliondolewa kudirect Thor2: dark World ajili ya muvi yake haikufanya vizuri kwenye box Office hivyo wakamchukua Arlan Taylor ndio akaongoza muvi ya Dark World. Baada ya muvi kutoka Arlan akasema hatarudia tena kuongoza muvi za MCU maana Dark World aliyoingoza na iliyotoka ilikua tofauti kabisa inaonyesha kwenye Post production waliifanyia mabadiriko bila director kujua.
Inshu kama hii ilitokea pia kwenye muvi ya Incredible Hulk Mwigizaji Edward Norton alichukizwa sana jinsi walivyoiharibu muvi yake kwenye Post production/Editing akakataa kuigiza nao na hii ndio ilikua sababu ya Mark Rufallo kuchukuliwa kucheza character ya Bruce Banner badala ya Edward kwenye The Avangers 2012
So baada ya Arlan Taylor kuchukia ajili wameharibu muvi yake ndio akachukuliwa Taika aje kutengeza Muvi ya Ragnarok ambayo ilifanya vizuri coz ilikua balanced kati ya Jokes na seriousness sasa boya huyu kalewa sifa hadi kamfanya Thor awe kituko. Inasemekana hatarudi kuongoza Thor 5 maana muvi imefanya vibaya kwenye Box Office na Critics.
Mimi napendekeza mdada A.C. Bladley Creator wa What If..? Ndio aandike Script ya muvi ijayo.