Hahah Franchie kila mtu akawa anamsikitikia kakosa mambo yake
Yes, huwa anapoteza control hawez ku control ile na tukio linapotokea huwa ana blackout... ni zile majaribio walizomfanyia kule russia nahis zinamsumbua
Yule ni kama bomu linalotembea ana radiation zile yuko radioactive ndio maana kuna ile meter alioachiwa Hughie alivyokaa na soldier boy akawa anaangalia, alikuwa jamaa akikasirika zile radiation level zinapanda... jamaa ni bomu linalotembea
Yule tick tack alikuwa analia help me! Alafu Homelander kaja kumkanyaga na boot
Ila nikizeeka nataka niwe Stan Edgar aisee yule mzee namkubali yuko very confident, kuna ile siku kamchana Homelander akamwambia “you are just a bad product” nilivunjika mbavu

