Ni baada ya kutumia ile darkhold kile kitabu cha evil ndio jicho likatoka vile, lile jicho linaweza kuona beyond reality sema subir watu wa comics labda wana maelezo zaid
Wasipomuua Rocket basi I’m cool with yeyote atakaekufa... sio die hard Fan wa GOTG sema napenda utani wao mwingi & soundtracks ndio zinazosababisha niangalie
Niliona hii series yao ya The Falcon And The Winter Soldier,Yule Sam Wilson(tHE Falcon) kaanza kujiita Cap America na kaanza kutumia ile ngao ya Steve Roger maana alipewa kwenye Endgame mwisho sa nahisi labda akawa ndo Cap mpya.
Na pia mwisho wa season waliandika jina jipya nmesahau kidogo ila kuna neno Cap America,Sema Steve Roger atabaki kuwa Cap mkali licha ya kutumia Sylum.