Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,469
- 17,578
"You mess with time, it tends to mess back."Hey y'all...
Hii ndio Theory yangu ya mwisho kuhusu muvi hii ya MoM, nitaelezea kadri ya nilivyotazama series zilizopita na kuzielewa. Tafadhali kama hujatazama hii muvi hakikisha umetazama na Series ya Loki, WandaVision, What if...?? Kisha muvi ya No way home.
Autobots let's roll...
(Kwanza kabisa kwa ambao hawana Elimu ya masuala ya muda kama Space-time, Theory of relativity ningependa mpitie baadhi ya nyuzi zangu za zamani nimeandika sana kuhusu maswala ya Time Wrapping/Bending na effects zake)
Wote mmetazama series ya loki, Baada ya Sylvie kumuua who he reamain alisababisha Kuharibika kwa timeline ambayoTVA hawawezi kuirekebisha tena (Nexus event).
Mind you Loki ipo out of time Since tva is timeless yanayofanyika kule ndio yanaweza kuleta madhara kwenye actual timeline za multiverse mbalimbali.
Moja ya sheria ya Time ni kua ukibadirisha kitu kilichotakiwa kutokea kwenye timeline fulani basi mambo yote hua yanaharibika hivyoTukio la sylvie kumua kang lilisabisha Nexus event. Kwakua mambo yameharibika kwenye timeline ndio tunakuja kuona kwenye Series ya what if...??
Baada ya kusababisha Nexus Event Matukio yanabadirika kama tulivyoona kwenye seriess ya what if. Mfano badala ya Steve Roger kupata Super Solder Serum anapata Peggy Carter na kua Captain Carter, Badala ya Steve strange kupata ajali na kuharibika mikono...anapata Rachel na kufariki jambo linalopelekea Steve kua Strange Supreme and so more...
So kwenye muvi ya Multiverse of madness baada ya Doctor strange kukosea kufanya Spell na kusababisha watu kutoka kwenye dunia nyingine (Multiverse) kuanza kumfuata kama tulivyoona kwenye muvi ya Spiderman No way home. Spell ile ilisababisha pia kuleta watu wengine wanaomfahamu doctor strange kutoka multiverse tofauti ndio hapo sasa Character wa kutoka kwenye What if kama vile Captain Carter na Strange Supreme, Zombie strange wanatokea.
Sio hivyo tu kwakua multiverse ipo wazi watu kutoka dunia nyingine wanakuja ndio hapo sasa Character kutoka Fox Century kama vile Professor X wanaingia MCU.
Ngoja niishie hapa nisiwaharibie uhondo.
Mind you, haya ni mawazo yangu na nina hakika yapo sahihi.
.
Ngoja tuone May 6th itakuaje.
I can't wait I can't wait
(In General Alladeen voice
Tony Stark, Avenger endgame