Nipo mtupu kabisa upande wa Dc Comics, ngoja leo nianze kuwasoma Doom Patrol. Dc hawathamini fans wao
Interesting....
Sema tu Elon hajajikita sana kwenye movie industry
Mpaka sasa sioni Logic ya kumuondoa Beb afleck he was perfect Batman, lakini pia kwani nilazima watuletee muvi ya batman pekee?? Mm hata sipo interested na hii muvi, DC wapuuzi kabisa hawawezi kua na continuity ya stori moja tu kama marvel sio kureboot franchise kila baada ya miaka kadhaa. Inaboa
Aquaman tu ndio nipo excited nayo coz I'm a fan of Jason
Kila mashabiki wa marvel wanachoomba marvel wanatoa. They care about Us