Marvel Cinematic Universe special thread

Upande wa DCU napo kumenoga asee January hapo tu tunaanza na Birds of Pray.. ni solo muvi ya Harley Quinn kutoka kwenye crew ya Suicide Squad.. Quinn anacheza kama female Joker...

Baadae kinatoka Wonderwoman 1984.. Daah can't wait.
 
Wana marvel ni noma lakini DG nao ni kisanga,
Marvel wamenikosha hapa
1. Doctor stranger
2. Thor: ragnarok
3. Captain America : civil war
4. Iron man 3
5. Avengers: infinity war

Walipo kuja kuni boa
1. black panther
2. ant-man & the wasp
3. deadpool 2
4.thor: tha dark world
5.venom
6. Karibia series zao zote
Black panther nimeikubali mno,

Walichoaribu ni Yale mapigano ya mwisho, walibakiza wiki 6 Kama sijakosea ili mzigo utoke,
Ikatokea Kama katuni.
 
Wana marvel ni noma lakini DG nao ni kisanga,
Marvel wamenikosha hapa
1. Doctor stranger
2. Thor: ragnarok
3. Captain America : civil war
4. Iron man 3
5. Avengers: infinity war

Walipo kuja kuni boa
1. black panther
2. ant-man & the wasp
3. deadpool 2
4.thor: tha dark world
5.venom
6. Karibia series zao zote
Series marvel za kawaida mno.. ngoja tuone series ya Loki,Vision and Wanda mwaka 2021,She hulk tuone zitakua vipi.

Deapool ukitaka uipende angalia Once upon Deadpool. Inachekesha sana.
 
Series marvel za kawaida mno.. ngoja tuone series ya Loki,Vision and Wanda mwaka 2021,She hulk tuone zitakua vipi.

Deapool ukitaka uipende angalia Once upon Deadpool. Inachekesha sana.
Katika supervillains ninaowakubali loki akosekani,
Wakikutana na kaka yake, plan A ni "get help"

Series ya loki lazima niicheck nione mambo yake.
 
Hulk wanabadilisha sana mastaa ndio nilikiwa nakerekwa. Wa part one mwingine, part 2 mwingine na kwenye avenger mwingine.
Hahaaa
Katika supervillains ninaowakubali loki akosekani,
Wakikutana na kaka yake, plan A ni "get help"

Series ya loki lazima niicheck nione mambo yake.
Loki ni kiungo mchezeshaji kwenye muvi za thor.. chizi sana yule jamaa. Afu bado hajafa kama tulivyoonyeshwa kwenye Infinity war
 
Hulk wanabadilisha sana mastaa ndio nilikiwa nakerekwa. Wa part one mwingine, part 2 mwingine na kwenye avenger mwingine.
Hahaaa spiderman Je? Kipindi hiko bado MCU ilikua bado haijatengenezwa so walikua wanauza characters kwa makampuni yenye pesa.. hulk ya 2003 kacheza eric bana kama sijakosea ya 2008 kacheza Edwards Norton baadae naona walishindwa kufika agreement so ndio akapewa nafasi Mark Rufalo yeye akaanzia kwenye Avenger 2012.
 
Eric ndio nilimkubali.
Spider man inaweza isiwe ishu coz ile movie imeanza kutoka kitambo sana na ujuavyo binadamu tunakua. So huenda Tobby alibadilika physically so hata hizo movie hazikumkaa vyema.
 
Yeah nahisi alifanya mambo yake ya illusion,

Ila mysterio kwa illusion Ni hatari Sana.
Mysterio alikua anatumia tech ila loki ni mzee wa Mischief.. Kevin Feige anasema loki hakufa coz macho hayakubadirika kua Blue
 
Aisee najiuliza kwani watu hawampendi adrew, au hawaipendi stori ilivyokaa, au wamechukizwa kwa kusitishwa spider man 4,

Ila Sam raimi kazitendea haki spider man zake.
Ni kweli sam raimi kazitendea haki ila pia Jon Watts pia kazitendea haki hizi za mwaka huu..
Sam naona wanamtumia kucheza baadhi ya vipande sasa hv. Andrew muvi zake stori haitofautiani na alizocheza Tobbey
 
Yeah ndio maana
Aliweza kudanganya watu billioni saba

Ila Loki ataishia kumdanganya kaka yake.😂😂
Sio kwamba Thor hudanganya kwa ujinga bali anampenda sana mdogo wake.. Hata akitenda vipi bado anampenda. Hapo ndioo loki anapo manipulate akili ya kaka yake
 
Back
Top Bottom