brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 984
- 1,490
Imeshuka Ina 88 percent tomatometer Ile ya kwanza Ina 96 percent ilipita endgame na ili gross 1 billion usd
Ila MCU hawan jipya wamesema secret war itakuwa na character 60 na villain wannesahihi ile ilikuwa peak marvel
hope wata recast ili kang awepo hata doomsday wasituache hewani
Natka kumuona sentry void anatisha hatarSaizi naisubiri Thunderbolt* ndo movie ya marvel iliyofanyika baada ya reforms pale marvel studio
Ila dcu nao wanakuja moto na supermanMCU wameharibu Sana, kutaka kila MC awe Mwanamke.
sema izi movie ukizipunguza storyline yote unaweza sema hamna kitu cheki mfano infinity war thanos anakusanya mawe tu , personal naamini thunderbolt ,f4 mpaka secret wars marvel wataua sana .Ila MCU hawan jipya wamesema secret war itakuwa na character 60 na villain wanne
DCU watumie hii chance ya MCU kuharibuIla dcu nao wanakuja moto na superman
project selection ya DCU kwa gunn haivutii kwa kweliIla dcu nao wanakuja moto na superman
Dcu naisubiri cyborg seriesDCU watumie hii chance ya MCU kuharibu
Watu wamekufa kwa ajili ya hzo Infinite stones, halafu kwenye TVA wao ni kama mawe tu hayana thamanisema izi movie ukizipunguza storyline yote unaweza sema hamna kitu cheki mfano infinity war thanos anakusanya mawe tu , personal naamini thunderbolt ,f4 mpaka secret wars marvel wataua sana .
Hapo kweli Yani continuity ya story hajaiset vzr ,hata hii superman anatuletea character wengi ktk movie Moja tusio wajua kosa lilelile la justice league 2017 black Adam na suicide squadproject selection ya DCU kwa gunn haivutii kwa kweli
F4 wataweka post credit ya dr doom tayari inacross 1Billion 🤣🤣🤣 huku superman mabegani imebeba mzigo wa kubuild cinematic universeDCU watumie hii chance ya MCU kuharibu
1 billion howF4 wataweka post credit ya dr doom tayari inacross 1Billion 🤣🤣🤣 huku superman mabegani imebeba mzigo wa kubuild cinematic universe
ndo mana natamani kumuona kang tena japo waliharibu na quantumaniaWatu wamekufa kwa ajili ya hzo Infinite stones, halafu kwenye TVA wao ni kama mawe tu hayana thamani
subiri july 25 inakuja1 billion how
ila Jonathan majors alikuwa anafit kuwa Kang alijiharibia mwenyewe tundo mana natamani kumuona kang tena japo waliharibu na quantumania
Naisubiri Dr strange 3 yule jamaa trick zake Huwa Zina ni goosepumpsubiri july 25 inakuja
Hapo wanaweza mleta Miaka ya 2029 kama new villain maana saiv wanamuandaa Ultron king Thanos Dr doom apocalypse nahis na lokiila Jonathan majors alikuwa anafit kuwa Kang alijiharibia mwenyewe tu
Naisubiri Dr strange 3 yule jamaa trick zake Huwa Zina ni
Dc hawaelew wanachofanya the flash Ina story mzuri sana hata endgame haifikii ila cgi mbovu na actions mbovuSana mashabiki wa DCU wanalalamikaga movie zao hazifanyiwi promotion kama MCU lakin hii the flash imefanyiwa promotion ya kutosha