Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Hivi kwann mnasema Black Adam ni mbaya??Yaani mpaka najuta kuchoma bando langu kuwafatilia
The Batman 2022 na Black Adam zimenipa funzo. walibahatisha Aquaman, ila Wonder woman nayo wakaboronga. Suicide squad sijawahi kuipenda, Justice League nayo naiona ya kawaida sana nikicompare na Avengers. Sijui nilipata wapi moyo wa kuwafatilia hawa jamaaLakini kwenye series nasikia Sandman 2022 wamefanya poa. Ila hawa jamaa nawahama nimeshachoma MB nyingi. Muvi zao nyingi zinachefua
Ngoja niingie huku Marvel series ya Hawkeye ilinikosha pia, Moon Knight sijaiendelezea
Aisee movie nimeirudia ile na sijaichoka hadi sasa






Mbona mimi nilikuwepo kwenye Dr strange