Marvel Cinematic Universe special thread

Hizi Movie aina hii siwezi nikakaa naangalia. Maelezo zaidi sina ila mara 10 niweke episode za Fred Quimby niangalie wana Tom & Jerry.
Japo napenda T&J ila unakosa uhondo mwingi kutokupenda hizi muvi.. ziko real.
Kama unapenda future studies
 
FB_IMG_15777943221316615.jpg
 
Hiyo sonic ile watu wameona trailer yake ya Kwanza watu waliponda sana muonekano wa sonic nami nikajiunga nikaponda sana muonekano wa yule sonic wa kwanza,
Ila hii trailer ya pili paramount wakasikiliza malalamiko, wakambadirisha wakamuweka kama wa kwenye katuni alivyokua.
Kitu November 2 kinatoka
FB_IMG_15962796045502590.jpg
 
Unampenda Henry Cavil.? Binafsi hua simpendi japo sura yake ni very distinct n notable. Bora Ben Afleck, wala usijali wanaweza kumpa mkataba pia hivo hivo mbona Chriss Evans kacheza kama Human torch kwenye Fantastic 4 na kacheza as captain america in Marvel (fantastic 4 iliuzwa ilikua chini ya marvel) lakini pia Zazie Beetz kacheza kama Domino kwenye Deadpool 2 ambayo ni character kutoka marvel hafu pia Kacheza kama mpenzi wa Joker ambae ni character wa DC. Sio huyo tu Tom Hardy kacheza kama Bane kwenye Batman Dark knight rises character kutoka DC halafu kacheza pia kama Ediie Brock kwenye Venom Character kutoka Marvel.
Actor hafungwi na mkataba kucheza kwingine shida ni Character wa DC kwenda marvel haiwezekani..
Batman awepo avanger hell no.

Ghost rider,Xmen,Hulk,Spiderman, nk wote hawa waliuzwa miaka ya 90s maana walifilisika mno marvel. Marvel pubishers walikua hawana kitu kabisa hadi Kevin feige alipoingia kama CEO akashirikiana na Vitoria alonso,Louis de'sposito nk.
Ndio maana muvi zote za spider man zinatengenezwa na Sony tu. Sidhani kama marvel wanapata zaidi ya 10% ya mapato kutoka kwenye muvi ya Spiderman.
Ndio maana mwaka jana kulitokea ugomvi kati ya Sony na Disney..sony wakataka kumtoa spider MCU unajua alichofanya Disney??? Alimuonyesha Sony jeuri ya pesa akataka kununua kampuni nzima ya Sony!!! Ila baadae walielewana (hua nahisi ilikua kiki)
marvel anajithidi sana kurudisha character wake hasa XMen. Eg. Wanada maximanoff (scarlet witch) na Pietro wapo marvel halafu baba yao ni Magneto yupo XMen.
 
Hayupo hai bana Alishakufa. Ila wataonyesha miaka ya 2015 au 14 mwishoni
Yeah at least tutamuona tena mara ya mwisho,mwisho, wakimuonesha na cap itakua vizuri zaidi,
Ila nahisi kwenye avengers 5 watawafuata kwa time travel, jamaa hawaishiwi mbinu za kutengeneza billions.
 
Back
Top Bottom