Marufuku kuvaa Suruali na Sketi za KUbana!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Uongozi wa Chuo Kikuu cha RUCO cha Mjini Iringa kimepiga marufuku wanafunzi wake wa kike kuvaa suruali na Sketi za kubana, badala yake wanafunzi wa kike wametakiwa kuvaa magauni marefu au Sketi zinazovuka magoti na zisizobana!!

Chuo hicho kinamilikiwa na Kanisa Katoliki Tanzania.
 
Sijui TAMWA wanasemaje katika hili au wale jamaa zetu wa Haki za Binadamu!!
 
wawakomalie na masharoo wanaovalia sarawili chini ya kitobo utamu... Utadhani inataka kudondoka vile....
 
sipati picha hii sheria ipigwe pale CBE!! ....... Ila kuna mademu hata wavae magauni makubwa vp! ndio MDUSHELELE unazidi kuonekana.
POPOBAWA.
 
Bado kuna vimwanaume navyo vinavaa skin jeans (kabu snuka) kama wanawake.

Je kwa hao nao imekaaje?
 
Uongozi wa Chuo Kikuu cha RUCO cha Mjini Iringa kimepiga marufuku wanafunzi wake wa kike kuvaa suruali na Sketi za kubana, badala yake wanafunzi wa kike wametakiwa kuvaa magauni marefu au Sketi zinazovuka magoti na zisizobana!!

Chuo hicho kinamilikiwa na Kanisa Katoliki Tanzania.

I love the move.
Suala la dressing code linaniumizaga sana kichwa.
Huwezi kuwa intellectual halafu unavaa kama kahaba, au mcheza kiduku. There must be a difference, to demonstrate your intelletualism.
Yes, difference in arguing, the way of thinking, difference in handling issues, and ofcourse,
DIFFERENCE IN DRESSING.
Bravo the University Administration!
 
Back
Top Bottom