Marufuku kupiga picha eneo la JWTZ

Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,465
2,143
Kikubwa kwetu furaha

1574428075347.png
 
Hahahaa itakua kiswahili kinawapiga chenga kidogo
Nyie ndo vilaza wakubwa msio jua kusoma wala kuelewa

Pale mwisho pamendikwa BILA KIBALI hivyo inawezekana hawa wana kibali kutoka jeshi kama huo ubao ulivyoandikwa, kuwa ni marufuku kupiga picha eneo hili wala kukaa kama huna kibali

Hivyo inawezekana wao wakawa na kibali cha kukaa hapo na kupiga picha

Achen uvilaza nyie wasomi wa vyuo vya majararani

LONDON BOY
 
Ila kama umepanik sana mkuu hasa hapo mwishoni....

Anyway don't take life too seriously, you will never get out of it alive
 
Back
Top Bottom