Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Kama huyu jamaa pamoja na ulemavu wake lakini bado anapambana na maisha, kwa nini wewe ukate tamaa??
Ndo hivo
Kama huyu jamaa pamoja na ulemavu wake lakini bado anapambana na maisha, kwa nini wewe ukate tamaa??
Hao wana omba omba wakati ni wazima kabisa ni wa kuchapa bakora tu, otherwise labda awe na reason strong sanaCha kushangaza kuna mtu mzima kabisa, na anaviungo vyote kwa hiari yake anaamua kuwa ombaomba barabarani.
Ni kweli kabisa aiseeHalafu unakutana na mtu ana mke na watoto kama utitiri wako kwenye mataa wanaomba na bila kilema chochote! Kwa hili Makonda namuunga mkono.
Hao wana omba omba wakati ni wazima kabisa ni wa kuchapa bakora tu, otherwise labda awe na reason strong sana
Hao wana omba omba wakati ni wazima kabisa ni wa kuchapa bakora tu, otherwise labda awe na reason strong sana
Saluti kwakoNafikiri kuna watu tunawaona wazima lakini kumbe wana ulemavu wa akili. Hao ni wabaya kuliko hata walemavu wa viungo vinavyoonekana.
Tusiwadharau walemavu, wengine wanavipaji na uwezo wa hali ya juu sana kiakili.