Martin na rafiki yake Andru...

Mapigo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
256
Reaction score
90
Martin alipata safari ya kwenda ng'ambo itakayomchukua miaka 10 mpaka kurudi, akaamua kumfunga mkewe sehem za siri kwa kufuli la chuma na kumuachia ufunguo rafiki yake aitwae Andru na akamwambia kama miaka 10 itapita sijarudi utamfungua mke wangu na kuwa huru.

Martin akaianza safar... Hajafika airpot mara nyuma anaona vumbi kali linatimka, kugeuka nyuma ni rafiki yake, Andru anakuja mbio, martin akamuuliza kulikon?

Andru akajibu:. "mbona ufunguo sio wenyewe"
 
Naomba nitafsiriwe kwenda English! teh! teh!

I did not understand this! Its very good! huhuhuuu!
 
Hahahaha kwa hiyo Andru alishaenda kuhakiki kama funguo ndo yenyewe mwee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Aiseee marafiki ni noumer!! Kaz kwenu mnaowakabidhi watu wenu kwa kina shemeji shemeji
 
Hahahaha kwa hiyo Andru alishaenda kuhakiki kama funguo ndo yenyewe mwee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Angekuta ndo wenyew cjui kam angeenda kumwambia martin....
 
Bila shaka Andru kabila yake ni mngoni.


Maana Wangoni ukimkabidhi pesa itafika salama lakini Mke hafiki
 
Daa! hii ndiyo shida ya waswahili wanapenda sana k kuliko hata msosi! Sasa we ANDRU si ungesubiri hata saa 1 ipite?
 

duh...umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…