Martin M. Masese amkosoa Tulia Ackson baada ya kusema "I Hate Death"

Martin M. Masese amkosoa Tulia Ackson baada ya kusema "I Hate Death"

MUNGU anisamehe tu kwa kutomkubali mwanadamu mwenzangu ila huyu mama ni mtu wa hovyo sana.
Juzi ulileta Post ukiwananga GenZ kwamba hawaaminiki kupewa nafasi nyeti za serikalini .Leo Mzee mwezako unamuona ni wa hovyo šŸ˜‚, .

Wa TZ washirikishwe Moja kwa Moja kwenye ujenzi wa Taifa lao mama Tanzania.

La sivyo itakuwa kila siku sisi kwa sisi tunahujumiana na kulaumiana
 
Hapa ndio unaona umetupoteza maboya vibaya. Ni hivi, Ndugai awahi motoni akaishi na dhalimu magu, maana wana mchango mkubwa katika kuharibu demokrasia ndani ta nchi hii, na kusimika mizizi ya siasa za kishenzi.
Huo Moto uliwahi uona au na wewe ndiyo walewale
 
Hakana hata nyama, Mimi ningekajibu shit sana🤣
 
Spika Tulia Ackson ilikuwa ni haki yake kutoa hisia kama hizo.

Alikuwa naibu spika wakati Job Ndugai alikuwa Spika kamili.

Tulia Ackson huenda,nasema huenda anakumbuka mengi kutoka Kwa mtangulizi wake ambayo hatoyasema wala kuandika popote.ushauri,kiongozi,maamuzi na kuzingatia itifaki Kwa kiongozi mkubwa kama naibu spika au spika kamili

Tulia Ackson pamoja na madhaifu yake (kama yapo) ni binadamu kama binadamu wengine,anaguswa na hafurahii mengi yanayoendelea,lakini bahati mbaya yupo katika nafasi ya juu tena kwenye muhimili mkuu kama bunge.

Sehemu ambapo hupaswi kutoa matamko Kihisia bali lazima ushirikishe timu, cabinet na watu mbalimbali ili kuchuja nini kizungumzwe kwenye umma.

Martin Maranja Masese ni wa kupuuzwa pamoja na kuwa anafahamika Kwa uwazi lakini ni kijana mropokaji,hafai hata kuwa kiongozi,asiwaige kina Lema ambao ni kama wamekata tamaa na hatima Yao ya kisiasa.

Martin hafai kuwa kiongozi mahali popote ni mtu asiyezingatia miiko,Siri na hata kutoa taarifa ambazo hana uhakika nazo na watu kama Martin wapo wengi hata hapa Jamii Africa,wao mtu yeyote akiwa CCM ni adui kwao.haijalishi atasema vibaya au vizuri .

Martin najua hata uliyoahidiwa na Mbowe hatatatimia kwakuwa hampo tena chadema,hamia chauma basi, James, Yeriko wapo huko

Na hata hapa Jamii Africa wapo wengi tu Ni watu wasiojua kuchambua mambo wao kila mtu ambaye ni trash pale CCM kwao ni Shujaa.

Kuna hawa ambao wameonekana ni mashujaa Kwa wiki za hivi karibuni

Josephat Gwajima,..

Huyu baada ya kuona atakosa nafasi na hayupo kwenye chain akaamua kuja na press kuisimanga serikali huku watu wakimuita ni Shujaa

Luhaga Mpina

Mbunge wa kisesa na kipenzi cha Rais Magufuli, hakuwahi kumkubali Rais wa sasa Samia Suluhu na chuki yake ilikuwa ya wazi baada ya kukosa mianya aliyokuwa kaikusudia.

Humphrey Polepole.

Huyu naye ni kipenzi cha Magufuli,
Namuita mshamba kwakuwa kuna mengi amekuwa akiyaropoka huku wengi wakimuonabl Shujaa kumbe ni mtu alijiona hayupo kwenye ile chain ya CCM

Pumzika mahali pema Job Yustino Ndugai.
Kila nafsi itaonja mauti.

Pole Tulia Ackson,
Pole wanafamilia,.
Pole wana CCM
Pole watanzania

Kwa kuondokewa na moja ya watumishi muhimu kwenye nchi hii.
FREE MIND,
 
Polepole alisikika akisema Job Ndugai alimkataza asifanye hivyo la sivyo watamuua

RIP Job Ndugai


Wale wote wanaotajwa na Polepole wote wanaotamkwa na kinywa cha Polepole, Vito Corleone atapita nao mmoja baada ya mwingine
Hawa watu ni wahovyo sana,namuomba Mungu awatumie radi wote
 
Alifanya uganga mchana peupe!!Halafu unaambiwa ameokoka,sijui kamba walimuongoza sala ya toba kule TAG au KKKT Kimara kabla ya kukaribishwa kuhubiri hapo KKKT Kimara.
 
Back
Top Bottom