The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,076
- 117,661
JF VAR CHECK.Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu,,, Jana umetualika Leo una ndoa ya miaka 15
JF VAR CHECK.Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu,,, Jana umetualika Leo una ndoa ya miaka 15
Asante kwa kunisaidia.
Sawa sawaUkishao mambo mengi hubadilika, kama hujajiandaa vizuri lazima upagawe...mfano vijana wa siku hizi wako kama Honey Badger, huyu mnyama Kila mnyama au mdudu anayeona anammudu atataka kupigana naye hata akifa sawa, sasa vijana hawajajiandaa kimwili wala kisaikolojia, ndoa ni maudhi ya makusudi hivyo busara sometimes inabidi itumike...
Kwani kuoa lazima? Si muishi tu kibachela?hakuna uhuru.
kushikiwa mtoto asie wako.
kuletewa magonjwa ya zinaa..
kuchapiwa/kugongewa pindi unapoyumba kiuchumu.
Ugomvi kila siku hakuna maelewano ndani ya nyumba.
Dharau kibao.
View attachment 3539414
Tunachagua upande wa kushambulia.🤣Hamna zuri hata Moja? Au tunaamua kusikiliza ya upande Mmoja tu mkuu
Hapo mwishoni umeharibu mzee mimi chai au maziwa bila sukari vinashuka vizuri tu! Sipendi vitu vyenye sukari nyingi mfano asali au tende..ukizidisha sukari kwenye chai au maziwa sinywi!Kataa ndoa mnajipatia pointi hapa lakini nipende kuwaambia hata kama una kaka yako mnaishi pamoja lazima mgombane,hivyo ugomvi katika ndoa ni kama sukari kwenye chai. Chai unaweza kuinywa bila sukari?