Marriage seems like a prison for so many people

Marriage seems like a prison for so many people

Ndoa ni maisha ya Mwanaume na Mwanamke walioamua kua na mapenzi yanayotambuliwa na Polisi na Mahakama,

Wapenzi hao huamua kuishi pamoja na kutatua matatizo yatakayotokea kwenye ndoa yao,matatizo ambayo yasingetokea kama wasingeoana.
 
Huwezi kukaa kwenye ndoa kama uko weak, we kataa tu
Unaposema weak unakua una maanisha nini?
So,to be strong ili ukae kwenye ndoa unatakiwa ufanye nini ili usionekane kua wewe ni weak?

Uwe simp? uvumilie mabaya yote na magumu yote ili usionekane weak? na hiyo weak umemlenga Mume au Mke?
 
Ndoa ni nzuri sana ukipata mtu sahihi sababu mapungufu yatakayojitokeza mtakua na uwezo na utayari wa kuyatatua.
hakuna uhuru.
Kweli, mtu mzima kuanza kuomba ruhusa kwa mwenzako ili ukafanye mambo yako inahitaji uwe umejitambua na kukomaa kiakili.
kushikiwa mtoto asie wako.
Kuzalisha nje ya ndoa imekua jambo la kawaida sana. Sidhani kama kuna mtu humu ambaye hana baba mdogo mkubwa, mjomba, jirani etc. ambaye ana mtoto wa kando.
kuletewa magonjwa ya zinaa..
Uaminifu imekua kipengele kwa wanandoa.
kuchapiwa/kugongewa pindi unapoyumba kiuchumu.
Kuna jinsia ambayo imeshahalalisha kuchepuka, kwamba wao hawawezi kutosheka na mtu mmoja, eti wameumbwa hivyo.
Ugomvi kila siku hakuna maelewano ndani ya nyumba.
Mara nyingi ni kukosa utayari wa kutatua matatizo, kila mmoja kuona mwenzake ndiye mkosaji zaidi.
Dharau kibao.
Awkward Kid GIF.gif
 
Ukishao mambo mengi hubadilika, kama hujajiandaa vizuri lazima upagawe...mfano vijana wa siku hizi wako kama Honey Badger, huyu mnyama Kila mnyama au mdudu anayeona anammudu atataka kupigana naye hata akifa sawa, sasa vijana hawajajiandaa kimwili wala kisaikolojia, ndoa ni maudhi ya makusudi hivyo busara sometimes inabidi itumike...
 
Unaposema weak unakua una maanisha nini?
So,to be strong ili ukae kwenye ndoa unatakiwa ufanye nini ili usionekane kua wewe ni weak?

Uwe simp? uvumilie mabaya yote na magumu yote ili usionekane weak? na hiyo weak umemlenga Mume au Mke?
Weak namlenga mtu yoyote! Kuwa weak maana yake unagive up easily, kuna common sort of things zikitokea wengine wanashindwa ndio maana mambo yanabadilika na watu wanaishia kwenye divorce tofauti na hapo wanaishi kwa kusikiliziana, kutegeana! Maisha ya ndoa kuchukuliana kunalazimika kwa maana mmejuana ukubwani, mmeshakomaa kila mmoja anakuja na tabia zake imani na malezi yake! Kama ww huna moyo wa uvumilivu una roho ndogo! Ndoani hutokaa, si-generalize sana maana people differ, people change!
 
Hapa point kubwa niliyoipata una maanisha kua,
nikukubali kuishi na kuyavumilia mateso ya kwenye ndoa ili usiwe weak.
 
Back
Top Bottom