Chai bila sukari inanyweka Mkuu. Ndoa sio ya kukuruoikia sababu kuna kuoa, au unataka watoto au ufurahishe wazazi/jamii. Siku hozi ukitaka kuoa funga na kusali Mungu akuongoze umpate aliye sahihi ukiweza tambika kabisa. Maana uvumilivu wanawake wa siku hizi hawana kabisa. Tuwaweke watoto wa kiume kwenye maombi.Kataa ndoa mnajipatia pointi hapa lakini nipende kuwaambia hata kama una kaka yako mnaishi pamoja lazima mgombane,hivyo ugomvi katika ndoa ni kama sukari kwenye chai. Chai unaweza kuinywa bila sukari?
Kataa ndoa mnajipatia pointi hapa lakini nipende kuwaambia hata kama una kaka yako mnaishi pamoja lazima mgombane,hivyo ugomvi katika ndoa ni kama sukari kwenye chai. Chai unaweza kuinywa bila sukari?
Kumbe una akili Bro 🤪Marriage is not for the weak! Au unasemaje babe min -me 😁
shida watu ni wabishi sana. Hivi tangu umezaliwa na mama yako haukuwahi kugombana nae? Kama uliwahi kwa nini usigombane na mkeo wakati ushawahi kugombana hadi na mamako? Watu wawili wakiishi pamoja mikwaruzano,migongano huwa haiepukiki,sema siku hizi uvumilivu umekwisha.Chai bila sukari inanyweka Mkuu. Ndoa sio ya kukuruoikia sababu kuna kuoa, au unataka watoto au ufurahishe wazazi/jamii. Siku hozi ukitaka kuoa funga na kusali Mungu akuongoze umpate aliye sahihi ukiweza tambika kabisa. Maana uvumilivu wanawake wa siku hizi hawana kabisa. Tuwaweke watoto wa kiume kwenye maombi.
mimi niko kwenye ndoa yapata miaka 15sasa,so naelewa ninachokiandika. Hamuwezi kuwa malaika kwamba daima msigombane.uNasimplify mambo sana
umeanzisha vita ya matusi nami ambayo naamini huiwezi. Badala ya kujibu hoja unatukana,hapo mpumbavu ni wewe ama mimi?Upumbavu huu
Unakataa ndoa au unakataa nini😃nakataa
Ndoivyo sisteri, wenye akili timamu tupo tu mdogoetu,ata mbingu ni ya wakomavu tu!Kumbe una akili Bro 🤪
Kweli kabisa ndoa ni Kwa wenye akili timamu na mwenye akili timamu sometimes inabidi awe fala Ili mambo yaende