Marriage for revenge

Dada inaonekana una hasira sana nashindwa hata kukushauri. Punguza kwanza hasira.
 

^^
Tatizo la kutoa comment kwa mtu ambaye tayari umejengea negativity (biased with)
Hivi neno "wapo" ni general? Ni wapi nimetaja nawajua wanawake?
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu awezae kukaa chini na kusema amemjua mwanamke,,hapo ni sawa na kujua rangi halisi ya kinyonga.
^^
 
Last edited by a moderator:
Vannele naomba umsamehe mumeo,
Hutopungukiwa na kitu kwa kumsamehe na utaishi maisha ya furaha sana, nahs atakuwa amebadilika na hatorudia
 
Last edited by a moderator:
Vannele kwa nini umeghaili uamuzi wako? Nilitamani ulipe kisasi tena ungesema ni kisasi cha aina gani halafu uje tena hapa utuletee mrejesho wa furaha ya kisasi chako! Tafadhali usiahirishe endelea na kisasi tunataka kujifunza kutoka kwako
 
Last edited by a moderator:
bado naheshimu mawazo ya mzee wangu " better invest on stones than invest on a woman"
 

Mungu hakukosea,kusema tuishi na hawa viumbe kwa akili...!!!
 
WAPENDWA DADA WA WATU KAKUBALI KUCHANGE!

BASI SIO NDO MUANZE KUMTUKANA UPYA MSOME POSTS ZOTE MUELEWE .

WHEN SHE CAME HERE SHE WAS SO BITTER AND HURTED

TARATIBU USHAURI UKAMUINGIA NA HATIMAYE AMESHINDA UDHAIFU NA AMEMWAIBISHA SHETANI.

JF NI SEHEMU NZURI SANA NA ELEWA HUJAKOSEA KUWA HUMU.

KUNA WATU WANAJUA KUCHEZA NA AKILI YA MTU NA KUMWEKA SAWA.

IM SO HAPPY FOR YOU. Vannele very Happy!

GOD BLESS YOUR MARRIAGE
 
Last edited by a moderator:

You are right, ni tatizo kucomment au kuwa objective kwa assumptions ulizozizoea.
Umemwambia mtoa mada akifanikiwa alete feedback ili ikusaidieni "kuwajua wanawake zaidi"; swali langu ni kwanini umeamua maisha ya mleta mada ndio yawe kiwakilishi cha kuwajua WANAWAKE (general term) zaidi? Na sio kumjua mtoa mada? Au kwanini posts (maisha) za wachangiaji wengine zisiwe msaada wa kuwajua 'wanawake'?
 
Utakapo mkua mtalaka uje utuambie pia...wishing u all the best
 

Safi sana lipiza.
 

Aisee babu yangu Asprin anawajua aisee....chaa!!!
 
Last edited by a moderator:
We demu mpumbav kabisa.Unahisi utaweza kumfanya nini huyo jamaa wewe coward?acha utoto na upuuzi endelea kuvumilia tu kama alikula tigo si umetaka mwenyewe ili ulinde penzi?saivi uwaro unakutoka unalia lia.Nyambaf
 

^^
Katika kufanya Research kuna dhana inaitwa sample and sampling, ambapo watu wachache wanaweza kutumika ku-represent majority reality, ikiwa njia hiyo ni scientific basi taarifa zinazopatikana husaidia kupata ukweli, mf. Rasimu ya Katiba mpya imechagua maoni ya watu zaidi ya laki tatu kuwakilisha maoni ya watanzania zaidi ya milioni 30,
Back to topic.
Nimemsihi atupe mrejesho hasa kwangu mimi mwenye kiu ya kujifunza, majibu yake yatanisaidia sana, na kwake yeye tu hatoshi, wapo waliomtangulia ambao ktk jibu nililompa mwallu mwanzo, mmoja wake alimuua kwa sumu rafiki yangu,
Kuhusu kujifunza kupitia comments za wengne ni wazo jema ila nimekuwa interested na huyu aliyeingia ktk ndoa kwa nia ya kulipa kisasi.
^^
 

hapo kwenye red nadhani the man was right, insonekana we ni mtu wa visasi na una kisirani ungekua mke mwema ungepiga moyo konde ungesahau yaliyopita na kusamehe....hufai hata chembe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…