Maroon Berets

Maroon Berets

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5,431
Reaction score
20,063
Undevu nini safi tu
Screenshot_20210112-155015_1610457443596.jpg
 
Hizi sijui ni armoured personnel carrier. Mbona kama driver yuko exposed sana yani hata kirahisi kwa nje unamuona. Zinatakiwa ziwepo sights ndogo tu ili asishambuliwe kupitia hiki kioo ambacho naamini hakiwezi kuwa armoured. Sasa dereva akijeruhiwa waliobebwa nyuma si wanakwama wote.

Tena hizo side mirrors kwenye ulimwengu huu ndio ajabu. Inaakisi kuwa hizi gari hazina modern electronics kama optic systems. Zinaendeshwa kwa dereva kutazama nje kila kona uku akiwa hatarini kushambuliwa
 
Punguza kuangalia movie mkuu!!!
Hizo glass ni hazipitishi risasi kwa urais ...tofaut na unavodhan!!!!
 
Hizi sijui ni armoured personnel carrier. Mbona kama driver yuko exposed sana yani hata kirahisi kwa nje unamuona. Zinatakiwa ziwepo sights ndogo tu ili asishambuliwe kupitia hiki kioo ambacho naamini hakiwezi kuwa armoured. Sasa dereva akijeruhiwa waliobebwa nyuma si wanakwama wote.

Tena hizo side mirrors kwenye ulimwengu huu ndio ajabu. Inaakisi kuwa hizi gari hazina modern electronics kama optic systems. Zinaendeshwa kwa dereva kutazama nje kila kona uku akiwa hatarini kushambuliwa
Umeniangusha kidogo kulinganisha na jina lako

Kwanza ungejua kuwa APC haziko uniform kila moja inaundwa na matumizi yake kuanzia Caspirs,type 63,ZFB05,BTR152,BRDM,07PA zote hizo tulizonazo zina features kadhaa ambapo nyingine hazina

Pia nadhani ungefamu kuwa hiyo hapo ni Type 90/92 au WZ551 na ina muda kidogo zaidi ya miaka 10 na ungejua ina armour mpaka kwenye kioo(Umenishangaza kidogo kama V8 za CiC iko armoured mpaka kioo halafu APC watumie kioo cha saluni sijui) Hahaha

Mwisho hizo teknolojia nyingine ni kweli inawezekana hatuna pengine sababu ya uwezo au la ila tusijilinganishe na Marekani au Israel tuwe honest
 
Kwa bahati nzuri unaonekana una uelewa nazo. Napinga APC kuwa na sight kubwa namna hiyo. Haiwezekani sight ya driver unaweza kumuona kichwa kizima, sasa hiyo kioo bulletproof si utanunua ghali sana maana vinauzwa kwa inches. Twambie kinawithstand viwango gani ukute hata adui akija na Dragunov anapenyeza risasi. Na kwanini kiwe na side mirror.

Hiyo point ya silaha kuwa na umri wa miaka 10 ni dhaifu mno. Silaha hazitengenezwi kutumika kwenye teknolojia ya miaka kumi tu hapo. US wana silaha kibao za miaka ya 1960s bado zinatumika, airframes za B-52 ni kongwe kuliko marubani wanaoziendesha. Silaha nyingi hutengenezwa kuishi miaka wastani wa 30, bado wanaweza upgrade.
Hapa useme kama tulinunua silaha za zamani kwa miaka hii.

Mimi sikubaliani na kuwa na masilaha mengi ya zamani. Una vifaru 90 outdated adui ana vifaru 20 modern hapo tunakuja kwenye kill ratio unakuta silaha imepiga competitor wake kwa 20:3

Hata hivo Tanzania silaha nyingi sio za muhimu sana. Kuwe na mafunzo, nidhamu, weredi na utayari. Kikitokea tunaagiza silaha ambazo tunajua kuzitumia tunapigana.
 
Hawa ndiyo wanakuwa makomando John?
Ndio hao ni Commandos
fafanua kidogo kuhusu hawa jamaaa tafadhali

Infantry Commandos ni sehemu ya jamii ya Special Forces ndani ya jeshi,wanajifunza kufanya mission wakiwa katoka vikundi vya wanajeshi wachache wachache(Labda 5-12) tofauti na wanajeshi wengine wanaokwenda kwa formation ya maybe kuanzia platoon(Hii inaitwa unconventional warfare), kazi nyingine ni kama counter terrorism, hostage rescue, FIBUA(Urban warfare), Sabotage na misheni kibao " behind enemy lines"

Kutokana na majukumu yao ndomaana wanafuga hadi ndevu( jeshini inaruhusiwa mustachi tu na nywele low cut) ila hawa hata uniform wanabadilishs badilisha pia( wanazo nyeusi pia walishazivaa sherehe ya Uhuru) pia ni wataalamu wa kuruka na maparashuti

Hawa kwao ni Ngerengere 92kJ( wazee wa 92)

Wana wenzao pia wako kigamboni Navy Spec Forces wenyewe wanebobea kwenye maji kwenda nchi kavu
 
Hivi mnajua upana wa kioo cha Humvee ile gar vita hasa ya mmarekan!!!

Ina Upana sawa na V8 lakin ni Bullet proof!!! Na hata Rpg ikipga vibaya dereva anakua majeruh tu!!!

Hizi pia bongo zipo mbona amshangai upana wake!!!!!???
 
fafanua kidogo kuhusu hawa jamaaa tafadhali
Nadhan website ya Jeshi ipo mkuu kule utapata maelezo meng!!!

Mi Takupa chai tu!!!

Fanya kugoogle mkuu lakin kwa ufupi hao ni komandoo!!; wa Jwtz uweza kutambulika kupitia kofia zao za damu ya mzee!!

Kofia nyekundu inakua ya MP) Millitary policy!)... Zipo pia kofia zenye rangi tofaut ambazo itofautisha kamandi za jesh!!

But uki!google utapata meng zaid
 
Ndio hao ni Commandos

Infantry Commandos ni sehemu ya jamii ya Special Forces ndani ya jeshi,wanajifunza kufanya mission wakiwa katoka vikundi vya wanajeshi wachache wachache(Labda 5-12) tofauti na wanajeshi wengine wanaokwenda kwa formation ya maybe kuanzia platoon(Hii inaitwa unconventional warfare), kazi nyingine ni kama counter terrorism, hostage rescue, FIBUA(Urban warfare), Sabotage na misheni kibao " behind enemy lines"

Kutokana na majukumu yao ndomaana wanafuga hadi ndevu( jeshini inaruhusiwa mustachi tu na nywele low cut) ila hawa hata uniform wanabadilishs badilisha pia( wanazo nyeusi pia walishazivaa sherehe ya Uhuru) pia ni wataalamu wa kuruka na maparashuti

Hawa kwao ni Ngerengere 92kJ( wazee wa 92)

Wana wenzao pia wako kigamboni Navy Spec Forces wenyewe wanebobea kwenye maji kwenda nchi kavu
Navy Spec Forces= Navy SEALs
Delta Force=Maroon Barrets

Navy SEALs wapo vizuri kotekote yaani ardhini, angani na kwenye maji kama ilivyo Delta Force, hawa wa kwetu kwanini wanakua na mipaka yaani huyu amejikita zaidi ardhini na huyu majini? na je kuna makomando wetu hua wanapata nafasi ya kufanya mafunzo na Navy SEALs au DELTA FORCE??
 
Kwa bahati nzuri unaonekana una uelewa nazo. Napinga APC kuwa na sight kubwa namna hiyo. Haiwezekani sight ya driver unaweza kumuona kichwa kizima, sasa hiyo kioo bulletproof si utanunua ghali sana maana vinauzwa kwa inches. Twambie kinawithstand viwango gani ukute hata adui akija na Dragunov anapenyeza risasi. Na kwanini kiwe na side mirror.

Hiyo point ya silaha kuwa na umri wa miaka 10 ni dhaifu mno. Silaha hazitengenezwi kutumika kwenye teknolojia ya miaka kumi tu hapo. US wana silaha kibao za miaka ya 1960s bado zinatumika, airframes za B-52 ni kongwe kuliko marubani wanaoziendesha. Silaha nyingi hutengenezwa kuishi miaka wastani wa 30, bado wanaweza upgrade.
Hapa useme kama tulinunua silaha za zamani kwa miaka hii.

Mimi sikubaliani na kuwa na masilaha mengi ya zamani. Una vifaru 90 outdated adui ana vifaru 20 modern hapo tunakuja kwenye kill ratio unakuta silaha imepiga competitor wake kwa 20:3

Hata hivo Tanzania silaha nyingi sio za muhimu sana. Kuwe na mafunzo, nidhamu, weredi na utayari. Kikitokea tunaagiza silaha ambazo tunajua kuzitumia tunapigana.

Nnimekusoma kwa sehemu kubwa nakubaliana ba wewe

Ila pia narudi kwenye msingi wa APC sio kama Tank na katika formation nadhan unajua kuna sehem ambapo inabidi askari muilinde APC(disembark) yaan ndo kiwango chake imeundwa mwisho hapo. Mbona hujiulizi ni "wheeled APC" sio tracked?? Manaake vitani APC mbovu ni matatizo zaidi kuliko hata. Dereva kufa(mnaweza kuendesha wengine) ila. Hiyo dragunov alipiga tairi you are sitting ducks. Nnachomanisha zina challenges zake na faida zake sio fool proof. Ni akili sasa ya kamanda mpiganishaji ana resources gani na anazitumia wapi kama ulivyosema mwisho wake siku ni weledi ndo kila kitu

Usengwile kamanda
 
Navy Spec Forces= Navy SEALs
Delta Force=Maroon Barrets

Navy SEALs wapo vizuri kotekote yaani ardhini, angani na kwenye maji kama ilivyo Delta Force, hawa wa kwetu kwanini wanakua na mipaka yaani huyu amejikita zaidi ardhini na huyu majini? na je kuna makomando wetu hua wanapata nafasi ya kufanya mafunzo na Navy SEALs au DELTA FORCE??
Hakuna Delta Force atakayetumwa kwenye mission inahusu undersea demolition wakamuacha Seal. Na pia kuna sehemu ambazo Delta wamebobea Seal hawaguswi

Mipaka ipo na ndio msingi mzima wa kuwa Spec Operator. Unabobea zaidi katika sehem zinazokuhusu, so inaundwa hivyo kwakua wanategemeana. Hakuna bora kuliko mwenzake ila wanakamilishana

Hata katika team moja kunakua na sniper mmoja,machine gunner mmoja,medic mmoja,k9 handler mmoja,radio guy na kiongozi kutaja kwa uchache. Na lengo ni kwamba ukifanye kitu hicho hicho mpaka unajua near perfect lakini sio kwamba wengine hawayawezi wanajua ila kuna specialization kubwa. Ndomaana ni gharama sana kutengeneza mmoja mpk kuwa tayari "kufanya majukumu" na akipungua pia kwa sababu yoyote ile no hasara sana kwakua inaharibu mizania.

Yes wanafanya mazoezi sana na marafiki zao. Mara ya mwisho niliwashuhudia kwenye mashindano yanaitwa SOFEX Qatar wakiwa na Jordans,SAS,Raiders Deltas nk
 
Back
Top Bottom