Marking your territory...

Babu Asprin nakuvulia kofia..
dahhh ngoja niendelee kukusoma
ooopsss na Shkamoo..
 
Dah,you are genius.
Nlikua nafikiria jinsi ya kumtetea "tam" wangu ila umenisaidia hapa chini.
Binafsi naona "kuweka territory" kama alivo i-define MJ1 ni kuonesha kutojiamini.
Me nachukulia sababu ni kwakua anakuja mara kwa mara (she is coming today)
ndo maana anakua anaacha nguo zake,viatu,etc.
Ntamkaribisha JF esp MMU na specifically kwenye hii thread ili nije nione reaction yake
baada ya kuona mitazamo tofauti ya wadau,hapo ntajua kwanini anafanya hivo
but so far nachukulia sababu ya chini kuwa valid.
 
Teritory...........Teritory............Teritory!

Leo tunamark Teritory.....

Kama umependa sana, na hutaki kupoteza ukipendacho........... Jaza yeye mimba! Hiyo ndo kiboko yake!

hahaha,duh hiyo ni balaa.
lakini sio kila mimba unakua umepanga wewe "kidume",..
nyingine wanakutegea wenyewe kama njia ya wao kuweka territory kwako.
Kazi ni hapo sasa,kama ulikua una assume ni show time tu yeye kakukamata kweli.
 


Hapo sasa (in blue).... Mie hio ni moja ya disqualification kua huyo dada/mama Ama kaka/baba is not into Mpenzi wake... Huwezi sema huyu mpenzi wako alafu unamtreat kama dadako/kakako usijali kabisa yuko wapi na nani... Hapo in Red wacha kujishtukia...lol... Thread ya MJ1 haichakachuliki... walinzi wakutosha wapo kulinda isitokee..... (But on second thot ngoja nikuache kweli tutajisahau..lol.. kwa heri...)
 
Atamark territory ya penzi lake kwa baamedi yupi?


Yule wa pale mitaa ya kati pale maana ndo anakoenda kushinda kila akitoka ofisini na nafikiri na kulala analala huko huko ndo maana haonekani mtaani
na nyumbani kwake mark zilizopo ni za huyo maana nafikiri ndo anamiliki hisa nyingi zaidi ya wenzake
 
(Msalimie hommie, mwambie aache ujinga, aongeze wivu kiduchu)
 
Clemmy jinsi ulivooeleza hii post yako... naona sina la kuongeza for you have
comment kua uko pande zoote depending na upo vipi na Mpenzio... Hivo
nafurahi the fact kua umeona hio last explanation umeona iko valid... Kikubwa
akija (Mpenzio) hapa kwenye thread nitashukuru saana kama utanitambulisha....

Thanks for the compliments (thou kidogo over board)....

 
Hiyo ya blue ni kweli kabisa hasa kutokana na ukweli kuwa "nje kuna waviziaji wengi". Ikiwa utajilegeza na imani ya kuwa "kwa vile kanioa au ninaishi naye sasa ni wangu", pamoja na tabia za wanaume wengine vijogoo, kuna hatari ya kunyang'anywa tonge mdomoni. Ni vizuri kukaa guard kulinda chako.

Kwenye nyekundu ndio ningeitumia na kupenda wangu aitumie kama njia ya kumark territory kistaarabu - mtunzane. Binadamu tuko kama watoto wadogo, tunaridhika na vitu vidogo sana lakini vyenye athari katika mahusiano. Mfano, m'me unatoka nyumbani umevaa nguo alokuchagulia Mamaita, unajisikia raha. Kama utaambiwa zimekupendeza huoni haya na pengine utajisifu kusema "kanichagulia Mamaita". Hapa she atakuwa amemark territoy yake bila kuonekana wehu. Wanaume wanapaswa kufanya kama hayo - Mamaita anapokuwa nje anakumbuka "every tiny gesture, words, caress", na atakuwa na hamu muda wote kuyapata haya kutoka kwako.

Lakini kama umetoka hovyo, shati limefungwa vifungo juu chini, limechomelwa upande mmoja, ukosi nusu ndani nusu nje, akatokea Mwamvita ofisini kukufunga kifungo, kukuweka sawa ukosi au tai, unaweza kuthamini gestures hizi na kwa muda kama sio ever, unasahau nyumbani.

All in all, human beings we do defer and everyone is a world of his own. Everyone knows or must know how to handle the situation accordind to the circumstances. Kama ni lazima utembee na panga kumark territory, tembea nalo.
 
Sasa mbona unaweka siri hazarani?

Afu kwanini The Finest kakugongea LIKE? Sikumbuki kama nshakula mahari yako, atakufa mtu hapa!

kwani babu ugoro umekuwa siri tangu lini??
au uli acha "kisiri siri" lolz dahhhh hata sjui kwa nini The Finest
amenipa "LIKE" labda anani like eti hahahahah lol.. kwani hauja mpa ruhusa
ya kuni like ?? 🙂
 
hii nayo imekaaaje, umeenza uhusiano na mkaka alieachana na mchumba wake, sababu za wao kuachana ni tofauti ya dini, walidumu kwenye uchumba zaidi ya miaka kumi, unaamua kumtembelea huyu kaka nyumbani kwake, unakuta kuna nguo na viatu vingi vya kike, unaamua kumuuliza hivi vitu vya nani, anakwambia ni vya ex wake atakuja kuvichukua, na kwamba hatuajaachana kwa ugomvi, siwezi kumpush aje kuvichukua, siku akiviitaji atakuja kuvichukua, hii nayo ni kumark territory kwa ex wa jamaa kwamba alikuwepo ama ni nini jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…