Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,664
Acha uzwazwa wewe 😆Komenti za kwangu kukavu tia mchuzi sasa, mpaka mjomba magu amewekwa from no where...🤣🤣

Bajeti yetu ni trilioni 45! Kwa mwaka!View attachment 3430742
Thamani ya utajiri wa Mark Zuckerberg, imepanda baada ya kuongezeka kwa hisa zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilioni 26 sawa na Trilioni 65 kwa siku moja (Saa 24).
Unaambiwa mapato hayo makubwa ndani ya saa 24 yametokana na 'Meta Q2' kuongezeka kwa zaidi ya Asilimia 12.
Mkwanja huo ulioingia umeongeza utajiri wake hadi kufikia Dola Bilioni 271 na kumfanya kuwa mtu wa tatu kwa utajiri duniani.
Wewe unaingia Tsh Ngapi kwa siku?
Matajiri wakubwa kwa sasa wanamiliki teknolijia.Mkuu hata sisi tungekuwa na nidhamu ya matumizi ya pesa kudhibiti mianya ya ufisadi rushwa na ubadhirifu tungekuwa matajiri na maisha mazuri.
Wee fikiria matrillion yetu wachache wanajikusanyia.
Skandinavian wanaendelea kwasababu ya nidhamu ya pesa. Norway ni matajiri kwasababu ya mafuta lakini hawajabweteka watu wanafanya kazi kodi lazima ulipe yani ukiamka kwenda kazini unaona kila mtu yuko kwenye nafasi yake ya majukum taifa linasonga.
Tuna mzaha sana likija swala la maendeleo.
Hata mimi ishu za Imam Hussain inabidi nipunguze.
Nyamwi255 Beira Boy Moisemusajiografii
Sisi hicho kidoogo tunachoingiza taifa zima kinaliwa na akina Rostam na wahuni wenzake akina KikweteView attachment 3430742
Thamani ya utajiri wa Mark Zuckerberg, imepanda baada ya kuongezeka kwa hisa zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilioni 26 sawa na Trilioni 65 kwa siku moja (Saa 24).
Unaambiwa mapato hayo makubwa ndani ya saa 24 yametokana na 'Meta Q2' kuongezeka kwa zaidi ya Asilimia 12.
Mkwanja huo ulioingia umeongeza utajiri wake hadi kufikia Dola Bilioni 271 na kumfanya kuwa mtu wa tatu kwa utajiri duniani.
Wewe unaingia Tsh Ngapi kwa siku?
Ukipunguza inshu za imamu Hussein bas ujue wewe siyo rafiki yanguMkuu hata sisi tungekuwa na nidhamu ya matumizi ya pesa kudhibiti mianya ya ufisadi rushwa na ubadhirifu tungekuwa matajiri na maisha mazuri.