PARRIE KIJIKO
Senior Member
- Jul 22, 2012
- 110
- 12
Mario Puzzo ana Novels kama kumi na sita tu.., ingawa The Godfather, The Sicilian na Last Don zilikuwa a work of art lakini kama unaangalia consistent na genius when it comes to writing ni wachache wanaoweza kufanya maajabu aliyofanya chase.. anavyo vitabu zaidi ya tisini na vyote ni masterpieces.. na story ni touching na tofauti tofauti..
Ukilinganisha na Mario Puzzo (aliyeandika kuhusu Mafia) utaona kwamba he had more materials to work with more readily.., You can argue kwamba maybe just maybe kwamba Godfather was a Bestseller kuliko vitabu vya Chase lakini Chase was more consistent anyway its hard to compare they are all good authors lakini Chase was out of this world by being consistent... and I can say he might have been a better author (maybe with same materials Chase might have written a better Godfather than Puzzo)
niliaha soma kitabu vha James Hadley Chase kilikua na title "There is Always a Price Tag" sio siri nilipenda story yake jamaa yuko juu sana
I have not read even a single novel of James Hadley...let me take interest....
and what about puzo?
I have read Godfather, The Sicilian and last Don. But the Godfather is still my favorite among the three
Ni kweli ndio maana nikasema information zake kuhusu mafia zilimfanya aweze kutoa kitu safi, ila nina uhakika kama tungewapa same materials waandike Chase angetoka ontop.., kwakweli Chase is a genius (alafu unajua kwamba Puzzo alikuwa on verge of Bankruptcy na kufilisika ndio akakaa vizuri akatoka na Godfather) all I can say his experience more than his writing capabilities zilisaidiahahahahahaha,hiyo Godfather ya chase si ingepoteza ile radha ya kisicili?ie yale majina,miji etc,nway nahesabu kura hapa
Ni kweli ndio maana nikasema information zake kuhusu mafia zilimfanya aweze kutoa kitu safi, ila nina uhakika kama tungewapa same materials waandike Chase angetoka ontop.., kwakweli Chase is a genius (alafu unajua kwamba Puzzo alikuwa on verge of Bankruptcy na kufilisika ndio akakaa vizuri akatoka na Godfather) all I can say his experience more than his writing capabilities zilisaidia
Hivi Sidney Sheldon je?
kina santino,sony,fredo, na michael,hahahahaha!the last don nayo ni hatari
One of my favourite author na sio kwamba ameandika pekee (pia ametengeneza some of brilliant tv series) I dream of Jeannie ikiwa moja wapoHivi Sidney Sheldon je?
But the way Godfather was well organized and alot to learn from the way he was running his family in crime business
The Godfather is the sum of all wisdom....
That is very true The Boss. The running of crime empire with that brilliance required total wisdom....and even the way he passed on the power to Michael...