Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,489
Mrembo matata aliyeiteka dunia miaka ya 1950-1960's
Hapana mkuuNdiyo CLEOPATRA huyu??
Tupia tu pichaAmetaka kufanana na my woman.
Ni mzuri.
Ametaka kufanana na my woman.
Ni mzuri.
Pamoja na mdogo wake! RFKJFK alikamatika hapo....
Mrembo haswaaa...
Mpaka leo kifo chake kimebaki na utata mkubwa.Inasemekana alimkufuru mwenyezi mungu huyu
Alikutwa chumbani nalala uchi kitandani akiwa keshakufaMpaka leo kifo chake kimebaki na utata mkubwa.
hahahahahaa cleopatra zamani saaaaaaaaana huyu mtoto wa juz tuNdiyo CLEOPATRA huyu??
madawa yamemuua huyu....hana tofauti na miley cyrus wa sasa hviAlikutwa chumbani nalala uchi kitandani akiwa keshakufa