kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,642
Mm
Nilidhan huo wimbo aliimbiwa Dianna Rose alivyo fariki....Kuna movie flani alicheza Hollywood akajiita Nomarn jean...hii ilimfanya Elton John akiwa Mdogo ampende sana Marilyn Monroe na kutamani hata kumuona ila akafariki na Elton John hakutimiza ndoto yake ya kumuona kiumbe aliyempenda kuliko wote chini ya jua.
Hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuandika wimbo wa "candle in the wind" baada ya marilyn kufariki dunia kama dedication kwa Marilyn Monroe msichana aliependezwa nae kuliko wote chini ya jua. Ndio maana kwenye first verse ya nyimbo ya candle in the light inaanza na maneno haya " goodbye Norman Jean .......sijui nini...
Thanks marliyn umetuletea songi murua.