Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 493
Mkuu wako ni smart kweli anataka umnunulie anakuomba kiujanja huyo!! Je, baada ya kukuambia fanya kam wamtokea ''mmm UONEE" ...ke hawana msalieee full wivu.mbona mimi wa kwangu ananiambiaga nigeuke kama there is somethig impressing or annoying ktk uvaaji wa wanawake wenzake..ni lyf styl tu..
Sasa duka lako lipo wazi na biashara inaendelea....Vipi ukodole bidhaa za duka la jirani? Yaonekana wee simfanya biashara mzuri waweza tia hasara kwa family bizness!!Fahari ya macho aifilisi duka
You are right..Lakini utamezea mate na kufyonza vidole....Wakati sahani yako hujamaliza!!Reading at the menu doesn't mean I gonna eat
Dignity ya mwenza...Haswa anapokua mbele yako au beside..... Ukifanya fahri ya macho ni dharau Sana!! kwani yeye ni gunia la udaga kwako?unafanya moja fahari ya macho, then unarudi, kwan ww ndo huna hisia?
Ni tamaa tu zinawasumbua
Samaki aliyevuliwa hatupiwi ndoano yenye chambo
wanaangalia tu kufurahia maumbile basi!!!