Mariga VS Okoth uchaguzi mdogo wa Ubunge pale Kibera (Kibra) Kenya nimejifunza mengi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,632
Katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kibera nchini Kenya ilikuwa kipimo cha Umaarufu,Pesa,Umwamba na Uwezo wa kisiasa nami kwa kuwa ni mpenzi wa siasa nilifuatilia kampeni hizo hatua kwa hatua.

Mariga aliyepewa chapuo la kuchukua nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mbuge wa jimbo hilo kufariki alijua kabisa kuwa pesa,umaarufu hasa katika soka na hususani iuchezea vilabu vikubwa vya mpira barani Ulaya ingekuwa sifa za Wakenya (moja ya jamii inayopiga hatua kubwa katika demokrasia baada ya mauaji ya uchaguzi uliopita miaka kadhaa ambapo Uhuru la Ruto walipelekwa The Hegue.

Naam kampeni zilikuwa za aina yake na ukweli ni kwamba mimi binafsi niliamini Mariga angeshinda kwa kura nyingi hasa ukiangalia alivyokuwa anajaza umati wa watu wengi na hasa kampeni za mwisho ambazo alipewa kapani kubwa na DP Ruto mtu tajiri anayeutaka urais usiku na mchana.

Raila ambaye ni mtaalam wa siasa za Afrika alikuwa amejichimbia kwenye mitaa na vichochoro walipo wapiga kura huku vijana wahuni wa Kibera wakijaa kwa Mariga na Ruto kutafuta pesa. Leo hii matokeo yameiacha mdomo wazi Jubilee huku ODM wakichekelea kwa ushindi mtamu.

Naamini wale mliokuwa mnafuatilia kama mimi kampeni za Mariga mtakubaliana nami kuwa umati uliokuwa unaambatana na Mariga ni zaidi ya umati wa kipindi kile cha kampeni za urais za Uhuru Kenyatta. Okoth (ODM) kura 24,636
Mariga (JUBILEE) 11,230

Tanzania tujifunzeni siasa za ushindani kama Kenya na sio kufunga na kukimbia ofisi
Weekend njema WANAZENGO

FB_IMG_1569233050712.jpeg
 
Mkuu, Hapo hata hapakuwa na ushindani, Hakukuwa na namna ODM kutoshinda Kibera, Pale ni nyumbani kwake, Wakenya hawachagui mtu asiye kabila lake.
Kibera ni 99% Luo.
 
Ni simple sana kwa jubilee kushinda popote ila sio ilo eneo ambalo wajaluo ni 90% ni sawa na ambavyo ODM hawawezi shinda nakuru au kiambuu.
FACT: Kibra ni kwa wanubi sio waluo na waluhya ndio wengi Kibra zaidi ya hata wanubi au waluo. Kuna tofauti kati ya mtaa wa Kibera na eneo bunge la Kibra. Eneo bunge la Kibra linajumuisha mtaa wa Kibera pamoja na mitaa mingine ya kifahari kama Ngumo, Karen, Lang'ata n.k. n.k.
 
Mkuu, Hapo hata hapakuwa na ushindani, Hakukuwa na namna ODM kutoshinda Kibera, Pale ni nyumbani kwake, Wakenya hawachagui mtu asiye kabila lake.
Kibera ni 99% Luo.
DAWPIC.jpg Rahim Dawood, mp North Imenti

ASIAN.jpg
Dr Swarup Mishra, Mp Eldoret

dgtetgpmz1hyj357b6c21241619.jpg
Shakir Shabeer Mp Kisumu Town East
DAWPIC.jpg

Peleka rongo zako huko jukwaa la siasa!
 
Mkuu, Hapo hata hapakuwa na ushindani, Hakukuwa na namna ODM kutoshinda Kibera, Pale ni nyumbani kwake, Wakenya hawachagui mtu asiye kabila lake.
Kibera ni 99% Luo.
Tena nikukosoe Mkuu, Kibera kama makaazi ina makabila yote! Wakamba kwa Waluo.. Waluhya kwa Wakisii nk
 
Kenya kwa demokrsia wako ligi nyingine na akina South Africa, Botswana, Namibia, Ghana, Nigeria, Benin nk.

Tanzania tuko ligi moja na akina Rwanda, Burundi, Uganda, Congo Republic, Cameroon, eSwatini, Equatorial Guinea nk.
Sure!
 
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Hila kwa sasa kisiasa tumepolomoka kwa kasi ya ajabu, sijui viumbe wengine huwa wanaibukia wapi. M/kiti wangu mungu anakuona, sasa huku mitaani hata bia wengine hatununuliani kama zamani.Wakishajua wewe ni CCM kindakindaki washikaji wanakula kona wanakuona mwanga.
 
FACT: Kibra ni kwa wanubi sio waluo na waluhya ndio wengi Kibra zaidi ya hata wanubi au waluo. Kuna tofauti kati ya mtaa wa Kibera na eneo bunge la Kibra. Eneo bunge la Kibra linajumuisha mtaa wa Kibera pamoja na mitaa mingine ya kifahari kama Ngumo, Karen, Lang'ata n.k. n.k.

How is Population-wise comparing Kibera to the surrounding areas you Mentioned,
 
Mkuu, Hapo hata hapakuwa na ushindani, Hakukuwa na namna ODM kutoshinda Kibera, Pale ni nyumbani kwake, Wakenya hawachagui mtu asiye kabila lake.
Kibera ni 99% Luo.
Nawashangaa Sana hata mimi.
Eneo lile la watu wa Nyanza wanaleta Wakalenjin sijui akina nani..

Najua Lang'ata ndiko Kina Raila wameweka mizizi
 
Tena nikukosoe Mkuu, Kibera kama makaazi ina makabila yote! Wakamba kwa Waluo.. Waluhya kwa Wakisii nk
Infact for Bernard okoth, the name Imran was given to him by nubians. In kibera if the nubians like you you are automatically an MP. In Busia, the women Representative is Kamba but she represents the Majority Luhya and Teso people in parliament. It is as you said not about tribe but about connection with the people. There is even an ODM MCA in Kiambu county assembly who is a Luo.
 
Nawashangaa Sana hata mimi.
Eneo lile la watu wa Nyanza wanaleta Wakalenjin sijui akina nani..

Najua Lang'ata ndiko Kina Raila wameweka mizizi
Raila hajaweka mizizi lang'ata alikua na nguvu kipindi kile lang'ata ilipokua pamoja na kibra hata sasa hivi mbunge wa lang'ata ni wa chama cha jubilee anaitwa Nixon korir .
 
Back
Top Bottom