President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,548
- 89,516
Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake.
Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama, ni utofauti wa vyama vya siasa au Ugomvi wa madhehebu ya dini.
Ili tuweze kufanya mardhiano ya uhakika hapa nani na nani wanaridhiana? Na wanaridhiana kwa jambo lipi?
Mawazo ni mengi mitaani na minong'ono imejaa kila kona ya nchi. Ukienda kwenye vijiwe utakutana na watu wanaongelea haya. Wengine wanasema ni maridhiano baina ya madhehebu ya kidini, kuna baadhi ya madhehebu ya kidini maslah yao yameguswa. Wengine wanasema maridhiano baina ya wafanya biashara kuna wafanyabishara maslah yao yameguswa. Wengine wanasema hili suala la SGR linakuja kuua biashara nyingi za usafirishaji. Makampuni makubwa ya usafirishaji yanaamua kukwamisha.
Wengine wanasema kabisa hii mwendo kwasi imeua biashara za watu hususani wale wenye daladala. Wanaona kabisa BRT ikikamilika kilakona Daladala zitakuwa hazina kazi biashara zao zitakufa totally. Ndio maana vijana wengi walichoma na kuteketeza kabisa vituo vya mwendo kasi.
Wasiwasi wa Madereva wa bodaboda kukosa kufika mjini maana Dar maana kwa mwonekano kabisa usafiri ndani ya jiji hautahusisha bodaboda utahusisha BRT.
Wengine wanasema baadhi ya madhehebu ya kini yameguswa na mageuzi yanayofanyika kutokana na kwamba madhebu hayo yalikuwa yakimilki biashara zingine huko bandarini, mabadiliko haya yameathili biashara zao.
Watu wanasema haya maridhiano yakifanyika na hawa watu wakaelewana hakutakuwepo na kelele tena.
Venus Star
Wa Pasua - Moshi Kilimanjaro
P.O. Box 103
venusstar@moshimjini.com
0791456