Jamani huyu mdada huwa ananiacha hoi jinsi anavyoongea na misemo
anayotoa pamoja na anavyorembua macho na mikono anaitingisha kwa madaha mwenzenu niko taabani,mfano juzi nilimsikia akisema "mwanamke kaletwa duniani kumpa mtu raha na sio karaha" n.k. Hapo wana jf wa bara mpo?? mnayajua?? Ombi langu kwa wana jf mwenye habari zaidi za huyu mdada atupe kama anakaa wapi?
Mtu wa Tanga au? namba ya simu n.k
Huyu Mariam Migomba ni mwenyeji wa Musoma,na alisoma shule moja ya msingi kule Musoma kabla ya baadae kuja kusoma chuo cha uandishi wa habari cha time,ameolewa na ana watoto kama sijakosea wawili.
Uso umekomaa kwa pombe kali, anakunywa konyagi kama hana akili nzuri...Amekomaa sana sura bila shaka anakaribia umri wa kustaafu kwa lazima
Amekomaa sana sura bila shaka anakaribia umri wa kustaafu kwa lazima
Uso umekomaa kwa pombe kali, anakunywa konyagi kama hana akili nzuri...
Ha ha ha ha ndio maana nimekuita "mmbeya wa mujini"....Kweli wewe kipaji,vipi ulisoma enzi za shule za vipaji maalumu Nifah "An old Lady of Turin"Haahahahaaa nilikuwa sijakuelewa vizuri,ila baada ya kufikiria Juventus 'Kibibi kizee cha Turin' nimecheka sana.