Maria Sarungi ni alama tosha ya Taifa letu. Nampongeza sana kwa moyo wa unyenyekevu kwa nchi yake. Kimsingi pale watu wanakula posho tu hakuna wanachofanya bila ukawa
Mie mshangao wangu kwanini imewekwa hapa kwenye kichwa cha habari kinachomhusu Maria Sarungi.
namuunga mkono huyo mtoto wa daktari bingwa wa mifupa sarungi kwa 100% kama ninavyomuunga mkono Zitto kwa uzalendo wake usiokoma kwa nchi hii pamoja na fitna zote mnazomfanyia. kwa heri
Hivi Zitto alikuwepo kwenye bunge la leo?
hajarudi she made my day
Mkuu Shetani mkubwa ni yule aliyechukua hela za mkono asiende jimboni kwake kupiga Campaign
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Maana nzima imeharibiwa baada ya kumhusisha huyu mpuuzi anayewaza kuwachuuza watanzania kwa gia ya uzalendo feki.I hate the that boy called Zitto.
Nianze kumpa pongezi mh.Zitto Kabwe kuungana na wananchi wengine kupinga kitendo cha Ccm kutumia mabavu kuandika katiba wanayoitaka wao.
Maria Sarungi nimekosa neno la kumwambia na sijui mwanamke wa umri wake ametolea wapi huo moyo wa kuacha kuchukua zaidi ya mil. 20 za vikao na kuamua kusimamia ukweli. Maria Sarungi ni mzalendo ni mfano wa kuigwa na tukishinda hili historia itamuandika vizuri.
Sijui ametokea wapi huyu binti. My words are not enough to express how great this woman is.
Maria Sarungi ni mjumbe wa bunge la katiba kutoka kundi la 201. Hajarudi kwenye bunge la intarahamwe naona maneno ya jaji warioba na wale ma prof aliya elewa vizuri.
namuunga mkono huyo mtoto wa daktari bingwa wa mifupa sarungi kwa 100% kama ninavyomuunga mkono Zitto kwa uzalendo wake usiokoma kwa nchi hii pamoja na fitna zote mnazomfanyia. kwa heri
Mmezoea hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja ndio maana mnatukana ovyo.vinyesi.
She is really patriotic, brilliant, long sighted, broad minded and above all she is beautiful!