hao wanajidhania ni makada wa ccm tutajua uhalisia wao maana kwa kadri jpm anavyozidi kuminya fursa za kifisadi, watatoka shimoni tu,Ni mtoto wa mzee sarungi..na yupo kwenye miss universe na anamiliki kampuni ya media.
Pia ni mdau msuri kwenye twitter akiwa na followers wengi . Hutumia muda mwingi kuwavuta watu kwenye slogan ya change lakini no pro ccm. Ni kada wa ccm wa kutupwa ....lakini hajitokezi hadharani.
yupo prof.Martin sarungi,Dr.Emoke sarungi,Dr.Veronica sarungi na Maria Sarungi.Prof.Martin yuposcotland,Dr.Emoke yupo sweden,Dr.Veronica na Maria wapo dar.Maria ameolewa na muethiopia Tshei.NAFIKIRI UMENIELEWA VYEMA.
Wewe unamjua Sarungi kama Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, sisi tunamjua kama Daktari Bingwa wa Mifupa na Waziri wa Afya enzi za Ben Mkapa, upo?Mtoto wa Philemon Sarungi aliyekua mkuu wa mkoa Kilimanjaro enzi hizo
Hana u-smart wowote, rangi yake tu na jina la baba yake ndo linambeba, ni kama tu walivyo akina January Makamba, Nape Nnauye na Hussein Mwinyi!She is very smart, understanding and friendly. I don't know much about her professional life history but her first impression to me was that.
Hana u-smart wowote, rangi yake tu na jina la baba yake ndo linambeba, ni kama tu walivyo akina January Makamba, Nape Nnauye na Hussein Mwinyi