Maria Sarungi: Independent Candidate?

Kwa hiyo!! Ka unachati naye!! Kakuahid kuwa washukiwa wataadhibiwa yeye kama nani?? Acheni kuwapa watu promo za kipapasi!!
NB: ukalipe laki mbili za watu #mswahili
 
Kuongoza nchi kwa sababu umemfuatilia tweeter!!!!????

Seriously ndio urais umekuwa hivi sasa???!!!
Asee. .,. . . . . . !!!!!

yaani kufuatilia tweets tayari ushamuona anafaa kuwa Rais! haya yote yamesababishwa na kikwete, hii taasisi kaidhalilisha Sana, yaani hata ma miss Wa nataka kuwa Rais!! my nose
 
Kazi yake ni kumpotosha Zitto,
Wache wafu wazikane...
duh kama ni mfuasi wa zitto atakuja kutufanya turudie makosa wasaliti wote wa mapinduzi wanatakiwa wapigwe risasi kwa hapa mafisadi walipo tufikisha tunalazwa chini mhimbili sababu ya mafisadi !!
mfuasi wa msaliti na yeye ni msaliti!!
 
yaani kufuatilia tweets tayari ushamuona anafaa kuwa Rais! haya yote yamesababishwa na kikwete, hii taasisi kaidhalilisha Sana, yaani hata ma miss Wa nataka kuwa Rais!! my nose

Not me please, am up my senses na nimekerwa sana labda hata kuliko wewe!!!
 
Ingawa hatujaruhusu kuwa na independent candidates kwenye nchi hii, mtu wa aina hiyo ndiye nilikuwa ninataka ashike uskani wa kuingoza nchi hii.
Mungu wangu!!! Hii habari mara ya kwanza niliisoma juu juu! Kumbe mleta mada anashauri Maria agombee urais? Hii nchi sasa kumbe hata mimi naweza kutangaza nia!!! Yaani kutoka kwenye Compass Comunication to the national top most!!! Niliamini hata Pinda hafai kabisa kuwa rais wa nchi hii kumbe kama ndo hivyo, basi Pinda ni one of the best candidate!
 
Kwa hiyo!! Ka unachati naye!! Kakuahid kuwa washukiwa wataadhibiwa yeye kama nani?? Acheni kuwapa watu promo za kipapasi!!
NB: ukalipe laki mbili za watu #mswahili
mbona povu limekutoka sana kama unataka kufa tulia dawa ikuingie lazima wezi wote lazima wafukuzwe wote
 
duh kama ni mfuasi wa zitto atakuja kutufanya turudie makosa wasaliti wote wa mapinduzi wanatakiwa wapigwe risasi kwa hapa mafisadi walipo tufikisha tunalazwa chini mhimbili sababu ya mafisadi !!
mfuasi wa msaliti na yeye ni msaliti!!
una taarifa Zitto tumeshamrudisha CDM jana alikuwa mtwara kwenye ziara UKAWA na Lipumba
 
Ndio nchi inakoendea mkuu!!!
 
Kwa hiyo tweets zake, michango yake BMK na kumfuatilia maisha yake kunakufanya ufikie hitimisho kuwa anafaa kugombea URAIS wa nchi??? Jeers!!!!
 
Huyu labda awe Rais wa Tanzania twitter , she is a beatiful gimmick labelled Sarungi to attract attention of the fools.
 
Mkuu jimbo gani?
 
..katiba mpya si inapendekeza kila jimbo liwe na mbunge mwanaume na mwanamke??
 
Amekuahidi kwamba akishinda atachukua hatua? Kwani tayari kasema anagombea?
 
I strongly support this lady and upcoming politican Maria Sarungi. Achague jimbo la hapa DSM kati ya Ukonga na Segerea kwa tiketi ya UKAWA.
 
Bahati mbaya wapiga kura wengi hawajui twitter ni kitu gani.... Maria atafeli vibaya sana akiingia kwenye siasa, ni bora akabaki hapo hapo alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…