Maria Sarungi: Independent Candidate?

Kwa namna anavyoonekana hata kujua historia ya yule dada haijui lakini yeye anabisha tu,Ningemshauri afanye research ndogo tu kuhusu Maria Sarungi huenda mtazamo hasi alio nao kuhusu huyu dada utabadilika
 

Surprise... Surprise... Surprise, Team Lowassa and Team Mbowe zimeungana kumshambulia mwanamama Maria Sarungi
 

Ati kaolewa na nani ?
 
Tunakosea sana tunapozani kila mwanaharakati,mpinga maovu,mwenye msimamo,mkosoaji,LAZIMA AWE MBUNGE tunakosea sana tujue....Malcom X,LUTHER KING jr hakuwa mbunge
 
Kwani nimekuambia na_present research or survey findings hapa hadi uliizie sample? You're going out of the context mkuu,all in the name of arguing and partisan fanaticism!
". . . katika wanawake ninaowakubali huyu ni mmoja wapo. . . . " sijui ulikuwa unaandaa mazingira gani kwa andiko lako hili??!!

Hii ni deductive reasoning, well next time jaribu kuwa consistent au ungesema tu kuwa unamkubali bila ya kuweka "kati ya". . . . . .
 

CV katika nchi kama hii watu wanajiita Dr's na wakagundulika sio??!!!
Are you serious??!!!
Eti sio rahisi kukutana naye one on one so hii ndio sababu ya kufanya majumuisho kwa tweets, please!!!!
Hizo "sababu nyingi" ndio ziweke wazi sasa ajulikane strength yake, that simple!!


Tweeter ni vessel lakini nini kinapita huko ndani ndio subject matter hapa sio tweeter kama tweeter, hili gumu kuelewa???!!!
 
Of course wapo wengi,tatizo unajaribu kutaka kunibana ili ushinde hoja...I won't be caught up in such kinds of 'gotcha' games of yours
 

Tehe heheh.Baada ya Kikwete kuudhalilidha uraisi na kuufanya urahisi kila mtu sasa anadhani ataweza kuwa raisi.

Yaani kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama sasa imefanywa kuwa kazi rahisi pia.Tuache porojo ukuu wa nchi si kitu cha mzaha mzaha mpaka kina Ngoswe na wao wajaribu.Zipo kazi za kina Ngoswe.
 
Kwa namna anavyoonekana hata kujua historia ya yule dada haijui lakini yeye anabisha tu,Ningemshauri afanye research ndogo tu kuhusu Maria Sarungi huenda mtazamo hasi alio nao kuhusu huyu dada utabadilika

Kwanza sina mtazamo hasi, and i know she is vibrant!!
Lakini linapokuja suala la "uongozi wa umma" hapa sasa lazima mseme why yeye na sio mwingine!!
Historia sio issue, unamjua marehemu Chachage (RIP) in relation to what unataka nifanye??!!

Mi sipendi tabia ya watu kama nyie kushabikia kimaslahi bila maegemezi!!

Do me a favour, andika unayodhani ni "outstanding" kuhusu muhusika ambayo yanamuweka katika position nzuri ya kusaidia Taifa hili kuondoka hapa lilipo, otherwise kuwa kiongozi ni haki yake ya kikatiba ambayo haihitaji thread kujua hilo!!!

Kwa nini unadhani/unajua kuwa huyu anafaa zaid???!!!!
 
Kazi yake ni kumpotosha Zitto,
Wache wafu wazikane...
 
As much as I like Maria Sarungi but considering her for the presidential post is kinda premature. She is still inexperienced and lack emotional maturity needed to be a leader of this very natural resource rich nation with full of corrupt politicians, citizens and don't forget our jealous and untrustworthy neighboring countries.
 
Mtazamo wake jamani

Ingekuwa anaanzisha NGO, CBO au a tailoring mart wala isingekuwa issue ila uongozi wa umma no lazima ahojiwe!!!

Tuko hapa sababu tumekuwa/tuna baadhi ya viongozi wasio na uwezo ila walikuwa maarufu wakapigiwa debe kama hivi na sasa tunateseka wote kwa sababu ya ushabiki na makundi! !
 


Tuna kizazi cha ajabu sana tujaribu kutafuta raisi atakayerudisha heshima ya ikulu maana imekuwa tabu sasa tunatafutiwa wanahiphop katika nafasi ya urais
 

Back to your senses now!!!
You are good to go . . . . . . . . .
 
Hasa kule Twitter. Ukimhoji Zitto anakujibu yeye tena kwa jazba na kejeli kwelikweli.
Wote hao ni wafu wacha wazikane mkuu,

Ndio mshauri wa Zitto kisiasa.

Kusoma na kuongea kiingereza wanajifanya wanajua kila kitu.

Huwa napamba nae kwa hoja, Twitter anakuwa mpole kama piliton.

Leo hapa wasiomjue eti wanamsifu ni "jembe" CV yake kubwa ni kuuza mabint wa kitanzania kwa wazungu.

Hana lolote, eti Miss Universal, kumbe anafanya udalali na ni kuwadi namba moja nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…