Ni vyema Mandela alienda kumuona Thatcher wakati akiwa Waziri Mkuu wa Uingereza ili kuonyesha kuwa "hakuna sababu ya kulipa ubaya kwa ubaya"....kama aliweza kuwasamehe hao makaburu wauaji na wavamizi wa nchini mwake, hakukua na sababu ya kuwasamehe Thatcher (Rest in Rust) na Serikali ya Marekani. Sioni kama alifanya kosa kufanya hivyo