utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Marekebisho ya Methali 2014:
1~Simba mwendapole- Huyo ni Sharobaro
2~Asiyefunzwa na *****..Ujue Mama hajapitia Ualimu
3~Zimwi likujualo.. Lilikuona Sehem
4~Chelewa Chelewa.. Ukizikusanya utapata Ufagio
5~Hakuna Masika.. Wakati wa Kiangazi
6~Mpanda Ngazi.. Asiwe Mwoga kuanguka
7~Ukitaka cha Uvunguni.. Usishangae ukikuta ni Kichafu
8~Hakuna Marefu.. Yasiyo na Mapana
9~Kuku Mgeni.. Hufungiwa mpaka azoee
10~Haba na haba.. Haba Mbili.
11~Penye wengi.. Pana Ajali au Tukio
12~Ukiona vyaelea..Ujue ni vyepesi
:Mwenye nguvu- amekula ugali wa dona
:Harakaharaka-ndio kuwahi.
nicè day joeh
1~Simba mwendapole- Huyo ni Sharobaro
2~Asiyefunzwa na *****..Ujue Mama hajapitia Ualimu
3~Zimwi likujualo.. Lilikuona Sehem
4~Chelewa Chelewa.. Ukizikusanya utapata Ufagio
5~Hakuna Masika.. Wakati wa Kiangazi
6~Mpanda Ngazi.. Asiwe Mwoga kuanguka
7~Ukitaka cha Uvunguni.. Usishangae ukikuta ni Kichafu
8~Hakuna Marefu.. Yasiyo na Mapana
9~Kuku Mgeni.. Hufungiwa mpaka azoee
10~Haba na haba.. Haba Mbili.
11~Penye wengi.. Pana Ajali au Tukio
12~Ukiona vyaelea..Ujue ni vyepesi
:Mwenye nguvu- amekula ugali wa dona
:Harakaharaka-ndio kuwahi.
nicè day joeh