Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,823
- 40,627
Ngoja niishie kucheka tu.
Mkuu Ingekuwa ni kwa siri hata wewe usingejua.
Sawa sindio ninaendelea kujifunza mkuu.Ulipaswa usiishie kujua kusoma na kuandika, ulipaswa uendelee mpaka ujue kuelewa.
Mkorea ni homa ya Dunia,mmarekani anawatafuta vibonde wake waarabu.Mmarekani yupo chini ya M-babe wake anaanza kutajataja Magaidi,Mara Ooooh tuyaone mapema Makombora ya Nyukliaa.Ashafelii jamaa kiduku ni Mweu,ataishusha Pentagon kwa Sekunde halafu mzalilikee.Mbona Mwingereza kaambiwa atafutwa kwenye uso wa Dunia na ameufyata na amekaa kimyaa!.Duterte amewaambia waachane na Kim atawanyoa luvuzwi kwa kipande cha chupaa.
It is no longer a 'secretive spy satellite' because you know alreadyMarekani, mapema leo imepeleka angani satellite muhimu kwenye maswala ya intelijensia ya kijeshi. Inaaminiwa kuwa satellite hiyo ni mahsusi kwa ajili ya kuchunguza mienendo ya magaidi, kuchunguza na kupeleleza program za kinyuklia ikiwa ni pamoja na kuwa na mfumo wa kutoa tahadhari mapema zaidi ikiwa kuna kitisho cha kushambuliwa kwa kombora la nyuklia.
Je hii si miongoni mwa maandalizi ya vita na korea kaskazini?
Source: SpaceX launches secretive spy satellite
Mkuu naomba unukuu kauli ya huyo Durtete yaan huwa namwelewa sana jamaaMkorea ni homa ya Dunia,mmarekani anawatafuta vibonde wake waarabu.Mmarekani yupo chini ya M-babe wake anaanza kutajataja Magaidi,Mara Ooooh tuyaone mapema Makombora ya Nyukliaa.Ashafelii jamaa kiduku ni Mweu,ataishusha Pentagon kwa Sekunde halafu mzalilikee.Mbona Mwingereza kaambiwa atafutwa kwenye uso wa Dunia na ameufyata na amekaa kimyaa!.Duterte amewaambia waachane na Kim atawanyoa luvuzwi kwa kipande cha chupaa.