Marekani yatuma kwa siri chombo cha upelelezi angani

Marekani yatuma kwa siri chombo cha upelelezi angani

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,371
Marekani, mapema leo imepeleka angani satellite muhimu kwenye maswala ya intelijensia ya kijeshi. Inaaminiwa kuwa satellite hiyo ni mahsusi kwa ajili ya kuchunguza mienendo ya magaidi, kuchunguza na kupeleleza program za kinyuklia ikiwa ni pamoja na kuwa na mfumo wa kutoa tahadhari mapema zaidi ikiwa kuna kitisho cha kushambuliwa kwa kombora la nyuklia.

Je hii si miongoni mwa maandalizi ya vita na korea kaskazini?

Source: SpaceX launches secretive spy satellite
 
Mkuu Ingekuwa ni kwa siri hata wewe usingejua.
Sina uhakika kama umefungua hiyo link, maana unachokishuku kimeelezwa vizuri tu humo wala usingejitwika bango la "uzembe wa kusoma kama sio kuelewa"
 
Mpaka wewe huku kwa Mtogole umejua alafu unaendelea kuita siri eboooooo
mzaramo soma hii kwa kimombo ujitofautishe na wakolomoje.

SpaceX launches secretive spy satellite

By Jackie Wattles May 1, 2017: 10:25 AM ET
SpaceX just launched a mysterious spy satellite toward orbit for a U.S. intelligence agency.
Elon Musk's commercial rocket company made a successful liftoff Monday morning from Kennedy Space Center at Cape Canaveral, Florida.
The mission was supposed to happen Sunday, but SpaceX delayed its flight because of a sensor problem on the bottom part of the rocket.
The customer for the launch was the National Reconnaissance Office, a U.S. government agency that develops and maintains spy satellites.
The payload, referred to as NROL-76, is classified. SpaceX shared no details on what type of surveillance the device will perform, how large it is or where in orbit it's being delivered.
The NRO says it surveys potential threats to the United States by tracking terrorists and monitoring the development of nuclear weapons in other countries. It can also provide an early warning of a potential missile strike.
Related: SpaceX delays launch of secretive satellite for U.S. Intelligence agency
SpaceX typically broadcasts entire missions online, but this time the company shut off footage of the launch just after the first-stage booster separated from the upper stage of the rocket.
SpaceX also achieved one of its defining endeavors: landing the rocket safely back on Earth.
About seven minutes after liftoff, the first-stage rocket booster separated from the upper stage and fired up its engines again so it could safely cut back through the Earth's atmosphere. An on-board computer then guided the rocket to a pinpoint landing on a 300-foot platform back at Kennedy Space Center.
Related: See the view from SpaceX's historic mission
The maneuver is done by no other rocket launcher. Rockets are typically discarded after a mission.
It's all part of the company's mission to drastically reduce the cost of space travel by using rockets more than once. Last month, SpaceX made huge strides toward that feat by putting a used rocket back into action.
The rocket used Monday was new. Its successful landing back on Earth marked the 10th time SpaceX has recovered one of its rockets.
The company says some of those will be put to use later this year. It's planning as many as six more missions with used rockets in 2017.
May 01
NEW YORK
 
Marekani, mapema leo imepeleka angani satellite muhimu kwenye maswala ya intelijensia ya kijeshi. Inaaminiwa kuwa satellite hiyo ni mahsusi kwa ajili ya kuchunguza mienendo ya magaidi, kuchunguza na kupeleleza program za kinyuklia ikiwa ni pamoja na kuwa na mfumo wa kutoa tahadhari mapema zaidi ikiwa kuna kitisho cha kushambuliwa kwa kombora la nyuklia.

Je hii si miongoni mwa maandalizi ya vita na korea kaskazini?

Source: SpaceX launches secretive spy satellite
Vipo vyombo vingi vya kijasusi vya Marekani angani mkuu. Wala hicho sio cha kwanza.Soma hapa mkuu, "Big machines parked in orbit. "au "Six top secret aircraft that are mistaken for UFOs"
 
Mkorea ni homa ya Dunia,mmarekani anawatafuta vibonde wake waarabu.Mmarekani yupo chini ya M-babe wake anaanza kutajataja Magaidi,Mara Ooooh tuyaone mapema Makombora ya Nyukliaa.Ashafelii jamaa kiduku ni Mweu,ataishusha Pentagon kwa Sekunde halafu mzalilikee.Mbona Mwingereza kaambiwa atafutwa kwenye uso wa Dunia na ameufyata na amekaa kimyaa!.Duterte amewaambia waachane na Kim atawanyoa luvuzwi kwa kipande cha chupaa.
 
Marekani, mapema leo imepeleka angani satellite muhimu kwenye maswala ya intelijensia ya kijeshi. Inaaminiwa kuwa satellite hiyo ni mahsusi kwa ajili ya kuchunguza mienendo ya magaidi, kuchunguza na kupeleleza program za kinyuklia ikiwa ni pamoja na kuwa na mfumo wa kutoa tahadhari mapema zaidi ikiwa kuna kitisho cha kushambuliwa kwa kombora la nyuklia.

Je hii si miongoni mwa maandalizi ya vita na korea kaskazini?

Source: SpaceX launches secretive spy satellite
Mkuu hapa imetuma chombo CHA SIRI ama KWA SIRI. Maana naona kama kichwa hapo ni chombo cha siri na si kwa siri maana sidhan kama tungefaham
 
Mkuu hapa imetuma chombo CHA SIRI ama KWA SIRI. Maana naona kama kichwa hapo ni chombo cha siri na si kwa siri maana sidhan kama tungefaham
jogi said:
SpaceX typically broadcasts entire missions online, but this time the company shut off footage of the launch just after the first-stage booster separated from the upper stage of the rocket.
"Kwa siri" ipo kwenye mistari hiyo.

------------------Update----------------
Hapa chini ndio ipo hii inayoitwa "Cha siri"

Back
Top Bottom