Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,572
Pole sana unadhani marekani ndiye atapigana hiyo vita?Marekani mwisho wao hauko mbali. Hawawezi kucheza michezo hii ya kughiribu akili nyepesi daima. The fall is near
Ndio nikakuambia kuwa hapo kubwa ni vikwazo, maanake kama military action wanataka kuchukua ingelikua ZAMANI imeshachukuliwa. VITA SIO RAHISI KAMA MUNAVYOFIKIRIA
Umekimbilia karata ya dini ,na akili yako itaishia hapoComment nyingi zinonyesha chuki ya wazi kwa mataifa ya kiislam ......
Upuuzi tu
UKWELI UTABAKI PALE PALE, japo kuwa mchungu, sio la kiislam pekee bali ni la kimsimamo wa kiislamRUBISH!Iran anaonewa kwasababu ya Dini je Iran ndio taifa la kiislam peke yake??Hii dini imekupofusha akili.
Hawa jamaa NI WADINI BALAAComment nyingi zinonyesha chuki ya wazi kwa mataifa ya kiislam ......
Upuuzi tu
Vipi unawashwa au ......umesoma comment za watu humu ......hawana lolote zaid ya chuk hawana wanalolijua ....Umekimbilia karata ya dini ,na akili yako itaishia hapo
Utasibiri sanaMarekani mwisho wao hauko mbali. Hawawezi kucheza michezo hii ya kughiribu akili nyepesi daima. The fall is near
SIDHANI KAMA KUNA TAIFA LOLOTE AMBALO LITAWEZA KUINGIA KICHWAKICHWA NDANI YA IRAN KWA SASA, SO LABDA WAINGIE SYRIA NA PIA KUINGIA SYRIA SIO RAHISI COZ KUNA MRUSI, falme za kiarabu wametumia magaidi na wametengeza vikundi mbali mbali kupigana Syria but WAMESAMBARATISHWANi sawa ,unaweza kusema Marekani hawajajiandaa kupigana kwa sasa,lakini inaonekana watakaopigana kwa sasa ni Israel akiwa na Saudia na washirika wake dhidi ya Iran,kwa msaada wa US
Marekani mwisho wao hauko mbali. Hawawezi kucheza michezo hii ya kughiribu akili nyepesi daima. The fall is near
Hio ni mipango yako but wenyewe inawapa shida sana nn wafanye baada ya vikwazoHawa pro Iran wajinga sana, kabla ya leo walisema Trump hawezi, leo kafanya wanasingizia dini
Architect wa hii kitu ni Israel, Saudi, Kuwait, Qatar
Marekani yeye atawauzia hao wote silaha
Qatar anataka gesi ifike Ulaya kikwazo ni Iran pale Syria, akipigwa vikwazo atondoka mwenyewe Syria afu Israel anamshughulikia Assad maana Russia hana nguvu kipesa
SIDHANI KAMA KUNA TAIFA LOLOTE AMBALO LITAWEZA KUINGIA KICHWAKICHWA NDANI YA IRAN KWA SASA, SO LABDA WAINGIE SYRIA NA PIA KUINGIA SYRIA SIO RAHISI COZ KUNA MRUSI, falme za kiarabu wametumia magaidi na wametengeza vikundi mbali mbali kupigana Syria but WAMESAMBARATISHWA
sudan?? fafanua vizur mkuuIran lazima apigwe, kumbuka alichofanya Netanyahu juzi,
Leo nasikia Cilo za mabomu zimefunguliwa na wanajeshi wameitwa kutoka likizo.
Hii vita Marekani atoa hela tu wapiganaji watakuwa Israel, Saudi, UAE, Kuwait, Sudan,