Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,505
- 20,477
Kuna jamaa alikuwa anajinadi kwenye kampeni kuwa yeye ni mcha Mungu! Na wapambe wake wakikolezea kuwa ni muadilifu.... Hebu tuone uadilifu na ucha Mungu wake utamsaidiaje kuhusu Zanzibar. NI MUDA WA KUJITOFAUTISHA NA WANAFIKI. HAKI ITAMALAKI KTK TAIFA HILI.
Mkuu unazungumzia ucha MUNGU gani? Unazungumzia Ukristo gani? Unazungumzia haki gani? Laiti angekuwa tu na nusu ya hayo yote, Hakka asingekubali kuapishwa kwa kunyang'anya haki ya MTU mwingine! Yeye mwenyewe anajua hajashinda kihalali, yeye mwenyewe anajua kura zake hazikutosha! Sasa huo ucha MUNGU anaojivika sijui unatoka wapi?