Marekani yapongeza uchaguzi Tanzania

Marekani yapongeza uchaguzi Tanzania

151106164133_john_magufuli_first_day_office_512x288_statehousetanzania_nocredit.jpg

Marekani imeitaka serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya raia wa Zanzibar katika uchaguzi wa urais uliopita.

Akimtumia risala za pongezi rais mpya wa Tanzania John Pombe Magufuli kwa ushindi wake wa uchaguzi mkuu uliopita, waziri wa maswala ya kigeni nchini humo John Kerry amesema kuwa Marekani inaendelea kukerwa na hatua ya kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi huo.

''Tunautaka utawala mpya kuhakikisha kuwa maamuzi ya raia wa Zanzibar yanazingatiwa na kuheshimiwa'',alisema.

151029075312_john_kerry_640x360_afp_nocredit.jpg

John Kerry

Hii ni mara ya pili kwa Marekani kuzungumzia hatua ya ZEC kufuta matokeo hayo.

Amesisitiza wito wa Marekani wa kutofutiliwa mbali kwa matokeo hayo huku akizitaka pande zote kushirikiana kwa lengo la kufanikisha mchakato huo wa kidemokrasia kwa uwazi na amani.

Wakati huohuo waziri huyo amempongeza rais mstaafu Jakaya Kikwete kwa kufanikisha uchaguzi mkuu uliopita.

Chanzo:BBC Swahili

Neno sahihi ni kusema "AMESHAURIWA". Sio KUAGIZWA! Hii ni nchi huru ina maamuzi yake ndani ya mipaka yake. Kerry ni nani mpaka amuagize Rais wetu? Au TZ ni sehemu ya US? Hebu tuweke mada kwa mantiki nzuri.
 
US hawana kawaida ya kushauri. US wanaagiza tu na ukifanya kubishia wanakuletea "African spring" au ISIS-African version.

US wanajua tayari CCM wameshindwa kupitia kisanduku cha kura kule Zanzibar na wanataka kung'ang'ania madaraka.

US wakiamua kukinukisha tumeumia. Waulize walibya, Iraq, Afghanistan, Yemen, Somalia na sasa Syria.

Mtembeza bakuli hawezi kuwa huru.
 
JUKUMU LA TUME NI PAMOJA NA KUTOA MATOKEO NA KUMTANGAZA MSHINDI. IWEJE MTU AJITANGAZE KUWA YEYE NDIO MSHINDI!? ALIKUWA NA TUME YAKE TOFATI NA TUME TEUZI!? KAMA KILA MTU AJITANGAZIE MATUKEO YAKE NINI KAZI YA TUME!? automatically kura zime haribika na alie ingilia kazi ambayo si yake na kuharibu shughuli za tume anastahili kuwajibishwa na uchaguzi unatakiwa urudiwe watu wakiwa na nidhamu, na ndio tunacho subiri wakitaka wasishiriki uchaguzi, huyu mwenzao huku yupo monduli ana chunga ng'ombe yeye akalime karafuu, fullstop
 
US hawana kawaida ya kushauri. US wanaagiza tu na ukifanya kubishia wanakuletea "African spring" au ISIS-African version.

US wanajua tayari CCM wameshindwa kupitia kisanduku cha kura kule Zanzibar na wanataka kung'ang'ania madaraka.

US wakiamua kukinukisha tumeumia. Waulize walibya, Iraq, Afghanistan, Yemen, Somalia na sasa Syria.

Mtembeza bakuli hawezi kuwa huru.

kama ndio kusudi lao basi ipo planned maana US haitoi command kama haisimamii kitu au aitolei udenda kitu fulani tofauti na hapo hawawezi kuingilia chochote hapa Tz haya ni masuala yetu na tutayamaliza wenyewe labda kwa ushauri na si kuagiza
 
Marekani nao wasitusumbue na mambo ya ndani ya nchi yetu. Sheria zetu za nchi zitafanya kazi, uchaguzi utarudiwa baada ya miezi mitatu habari ndio hiyo.
 
Marekani nao wasitusumbue na mambo ya ndani ya nchi yetu. Sheria zetu za nchi zitafanya kazi, uchaguzi utarudiwa baada ya miezi mitatu habari ndio hiyo.
DUNIA ISHAONA WALICHO AMUWA WAPIGA KURA ZANZIBAR
MATAIFA WASHATOA MSIMAMO WAO
ccm washashupaa mishipa ya shingo kupindua demokrasia
kinachofuata ni kutangazwa tarehe ya UCHAFUZI .Vurugu zitokee ULIMWENGU UINGIE KATI
walio SABABISHA wapelekwe ICC The holanziii watatajana NA kusalitiana
BASI
 
Kuna kipindi mda kimeisha mda si mrefu channel ten kimenichefua sana yani kile kizee na wale wageni wake wawili ni waajabu sana naona wanachojadili kuhusu zanzibar wanajielekeza sana kwenye kuvunja muungano hivi jaman tuwekane.wazi inamaana cuf wakichukua nchi ndo watavunja muungano hawa watu mbona wanapenda pandikiza chuki za kipumbavu na ndo maana ccm wanang'ang'ania na kujipa uhalali wa kuwa watawala pekee miafrika mfike mahali sasa muache kutumika hovyo mnakera sana
Pia CCM wanatumia turufu ya kuihusisha CUF na ugaidi. Yale mabomu yaliyotengwa Zanzibar ni mtego huo.

Jonathan to mediate Zanzibar poll crisis

Nigeria's former president Goodluck Jonathan is stepping in to help resolve the political deadlock in Zanzibar after the electoral commission annulled the October 25 election results.

The EastAfrican has learnt that Mr Jonathan was picked to head a Commonwealth-led mediation team. But he is likely to have his work cut out referring the tug-of-war between the ruling Chama cha Mapinduzi and the Zanzibar main opposition party, Civic United Front (CUF).

CUF accuses CCM of rigging elections since 1995 and wants more autonomy from the mainland, while CCM accuses CUF of promoting radicalisation on the Isles.

Sources say Mr Jonathan?s choice was also informed by his experience with Islamic radicalisation and extremist violence in Nigeria.

Zanzibar Electoral Commission (ZEC) chairman Jecha Salum Jecha nullified the election results following claims of irregularities. But international observers disputed the decision, saying both the voting and counting processes were held in an atmosphere of peace.

READ: Zanzibar opposition urges calm amid political crisis

A re-run

The ZEC has announced a re-run after 90 days. The international community ? including the United States and Britain ? has criticised the decision, calling on ZEC to continue with the tallying process of the results and to identify the areas where irregularities were reported.

CUF secretary-general Seif Sharrif Hamad met several religious leaders and key political figures on the mainland. CCM?s central committee held a two-day closed door meeting last week to discuss ways to end the crisis but gave no statement after the meeting.

However, sources told The EastAfrican that another round of talks will be held next week under the chairmanship of Mr Jonathan who is expected to bring all the parties together to find a lasting solution.

Mr Hamad has asked his supporters to remain calm as mediation efforts continue. Despite wide anticipation of violence and political tension, Zanzibar has remained calm although tour operators complained of reduced number of tourists visiting the islands.

There are also reports of food shortages as transporters from the mainland reduce their trips.

Zaidi Link Jonathan to mediate Zanzibar poll crisis - News
 
Marekani nao wasitusumbue na mambo ya ndani ya nchi yetu. Sheria zetu za nchi zitafanya kazi, uchaguzi utarudiwa baada ya miezi mitatu habari ndio hiyo.
Sheria ipi imempa mamlaka Jecha kufuta uchaguzi?
Tusaidie na sisi tusiojua sheria. Ukiweza tuambie ibara ipi na nukuu kipengele(kifungu) hicho kinachompa mamlaka Jecha kufuta uchaguzi.
Isiishie tu kusema sheria zetu. Au sheria hizo ni za CCM tu?

Tuonesheni hiyo sheria na vifungu vinavyotoa mamlaka ya kufuta uchaguzi ukiwa tayari umekaribia kukamilika. Jecha anatangaza matokeo kitaifa tu. Ukweli ni kuwa matokeo yalishatangazwa vituoni na majimboni. Mshindi anajulikana. CCM iache usanii ,maigizo na ung'ang'anizi wa madaraka.
 
Na leo balozi Seif kapigilia msumari eti uamuzi wa ZEC upo pale pale!!!
 
Sheria ipi imempa mamlaka Jecha kufuta uchaguzi?
Tusaidie na sisi tusiojua sheria. Ukiweza tuambie ibara ipi na nukuu kipengele(kifungu) hicho kinachompa mamlaka Jecha kufuta uchaguzi.
Isiishie tu kusema sheria zetu. Au sheria hizo ni za CCM tu?

Tuonesheni hiyo sheria na vifungu vinavyotoa mamlaka ya kufuta uchaguzi ukiwa tayari umekaribia kukamilika. Jecha anatangaza matokeo kitaifa tu. Ukweli ni kuwa matokeo yalishatangazwa vituoni na majimboni. Mshindi anajulikana. CCM iache usanii ,maigizo na ung'ang'anizi wa madaraka.

DUNIA ISHAONA WALICHO AMUWA WAPIGA KURA ZANZIBAR
MATAIFA WASHATOA MSIMAMO WAO
ccm washashupaa mishipa ya shingo kupindua demokrasia
kinachofuata ni kutangazwa tarehe ya UCHAFUZI .Vurugu zitokee ULIMWENGU UINGIE KATI
walio SABABISHA wapelekwe ICC The holanziii watatajana NA kusalitiana
BASI

Hayo matokeo tuwekee hapa mtandaoni tuoneshe huko mlikoshinda. Sasa kama hakuna sheria mlienda kwenye uchaguzi kufanya nini? Huyo Seif ni mlalamishi tu kila mwaka yeye tu ndio anaonewa, mbona basi na yeye anang'ang'ania, tumemzowea. Mwambie Seif basi aweke hapa ushahidi wake kwamba ameshinda? Hii imekula kwenu na hakuana cha USA wala nini. waende wakawaburuze waarabu hapa wamegonga mwamba.

BTW hakuna kimburu yoyote atakayekuja kufanya lolote tutakaloamua sisi ni Soverign state mark my words. usije kudanganyika na USA wala nani watanzania hatutishiwi nyau and they know it.
 
Jaribuni ku control kipindu pindu kinachoenea kwa nguvu sasa, na mvua hizi na uchafu ulozagaa nchi nzima ndio utoe jeuri kama hiyo. Utawatafuta kinyume nyume hao USA unaowatukana.

Waulizeni wenzetu wa Liberia na Sierra Leone na Ebola yao. Mbona jeuri yao waliiweka mbali. Chezea umasikini wewe!
 
Hayo matokeo tuwekee hapa mtandaoni tuoneshe huko mlikoshinda. Sasa kama hakuna sheria mlienda kwenye uchaguzi kufanya nini? Huyo Seif ni mlalamishi tu kila mwaka yeye tu ndio anaonewa, mbona basi na yeye anang'ang'ania, tumemzowea. Mwambie Seif basi aweke hapa ushahidi wake kwamba ameshinda? Hii imekula kwenu na hakuana cha USA wala nini. waende wakawaburuze waarabu hapa wamegonga mwamba.

BTW hakuna kimburu yoyote atakayekuja kufanya lolote tutakaloamua sisi ni Soverign state mark my words. usije kudanganyika na USA wala nani watanzania hatutishiwi nyau and they know it.
Wewe umeshindwa kuleta sheria zenu.
Sikiliza wanaojua sheria.

Mkuu wa tume Zanzibar ana mamlaka ya kufuta matokeo? - BBC Swahili
 
Zanzibar elections were rigged and marred with corruption and irregularities, the entire process was inflitrated by political party undercovers. ZEC has ordered elections to be done again in 84 days from today.

We love Zanzibaris but they need to elect a President through a fair process. Putting pressure on ZEC wont necessarily mean a good outcome and it further adds to a tense political situation at a very critical time in our island nation.

Kwani Dr Shein akiwa makamu wa kwanza wa Rais iko shida gani? Mbona katiba yao inaruhusu? Dr Shein kubali kushindwa na umpongeze Maalim Seif. Acha kuwasikiliza hao wapambe wa baraza la mapinduzi na ubinafsi wao. Mwambie Jecha atangaze matokeo yalivyo tutakupongeza. Dumisheni muafaka kwa amani ya Zanzibar na Tanzania nzima.
 
hakuna shida Dr Shein akiwa makamu wa kwanza wa Raisi, shida ni kwamba CUF waliweka watu wao na wakafanya tume na shughuli zake ziingiliwe vibaya.

Dr Shein hajashindwa, uchaguzi wote umefutwa ili uchaguzi huru na wa haki ufanyike bila ya kuingiliwa na wanachama wa CUF.

hatuwezi kudumisha amani, kwa kujifanya vipofu pale CUF wanapofanya vioja kwenye uchaguzi.
 
Back
Top Bottom